Makomandoo wa Bongo

I love this topic,je makomando wa ukweli ni kama ile move ya anold schwezneger ya commando?je wanatakiwa kuwa na body kubwa au sio lazima?ufupi?
 
Siku nyingine ukikutana na mtu wa hivyo kwenye daladala, hebu mwambie ''bwabwa wewe hebu sogea huko''
Halafu utakuja kutuambia kama ni commandoo kweli au ni komandoo Hamza kalala!!
 
Actually kama ni commando wa ukweli hatatufanya lolote maana wamefundishwa kutokutumia mafunzo yao kwenye masuala yasiyo ya kivita.
 
Miaka ya 90 nilishawahi kukutana na Makomandoo kadhaa nchi za wenzetu. Hawa jamaa walikuwa kwenye kikosi kimoja kikali sana ambacho kuna miaka ya 90 mwanzoni, walishiriki kuwakomboa na kuwatorosha Wamarekani huko Iraq.

Ukiwasikiliza, ndiyo unaona kuwa hawana tofauti sana na Komandoo wa nchi nyingine au hata wa Tanzania. Sema tu ni mazoezi yepi wanafanya kila siku kujiweka fit. Pia ujuzi wa kupigana hasa style gani wanatumia. Hapa kwa kweli hizi Kung-fu au sijui Karate huwa ni cha Mtoto. Zinaheshimika sana style za Izrael iitwayo KRAV MAGA

Last edited by a moderator:
Ukiacha hiyo ya wa Izrael ambayo ni kama kuchanganya style nyingi za Japan/China na boxing, Warusi wao walikuja na yao ambayo ni mbaya zaidi. Hii hata USA wanasema wazi kabisa kuwa ni mbaya zaidi.

Komandoo huwa hana SILAHA maalumu. Komandoo ni mtu anayeweza kutumia kila kilicho karibu naye ili kujilinda. Kuna yule aliyehusika kutaka kumpindua/kumuua Nyerere ambaye alipozingirwa, bado alirukia Pick-Up iliyokuwa ikipita kasi na akaanza kuwarushia askari waliokuja kumkamata, chupa za bia.

Kuna mmoja ambaye yeye alikuwa zaidi kama JASUSI, hata nguo za jeshi alikuwa havai. Ila vita ya Uganda, alienda kupigana. Jamaa huwa akisema analala dakika kadhaa, basi dakika moja kabla, huamka kweli. Ni watu walio na uwezo wa hali ya juu na kunusa hatari inayoweza kuja.

Si rahisi Komandoo na Komandoo kupigana kwa sababu, mara nyingi wanapigana katika pande mbili tofauti. Kwa mfano, Komandoo wa Tanzania, siku zote walipigana nyuma ya front line ya Askari wa Amini, na wao wakiwa nyuma ya front line yetu. Hawa wanakuwa wanalipua magari yanayoleta chakula, kumwaga sumu na kutega mabomu sehemu wanazojua mtakuja nk nk.

USA ukiacha hao SEAL na sijui MARINES, wengine ni hawa waitwao The United States Army Special Forces (Green Berets) . Hawa pana siku niliona kipindi wakielezea jinsi walivyokuwa wakivamia Bank na kuiba. Siku moja wakawazunguka Polisi kibao. Polisi walikuwa wakitokea na bunduki zao huku wakimimina risasi, jamaa wanageuka na kurusha risasi moja tu, Polisi kwishieni. Waliwamiminia risasi nyingi sana kama zile film za Hollywood ila mijamaa ilikuwa na roho ngumu kama PAKA. Baada ya kuwa wameshakula risasi nyingi sana (mmoja alichukua zaidi ya 20 kama sikosei) ndipo kwa shida sana yakafa yote. Polisi hawakuamini walichokiona siku hiyo na ikabidi wawahi kujua ni raia gani hao. Riport ilipokuja kuwa walikuwa ni GREEN BERET, basi kila mtu akatoa salute kwa Wanaume.

Kama nilivyosema, Warusi wana Style yao ambayo hufundishwa hata KUUMA kama ikibidi. Hii style ni kuwa haina formula na kila kitu kinaruhusiwa ili mradi uuwe au kuumiza sana. Hiyo kitu inaitwa SYSTEMA. Usiombe ukutane na mpiganaji wa SYSTEMA maana atakuumiza vibaya sana kama siyo kukuuwa. Warusi ukiacha kufundishwa kupigana kwenye SYSTEMA, pia wanafundishwa KUVUMILIA maumivu ya hali ya juu. Hapo wanakuwa kama GREEN BERET ila sema piganaji yao inaacha adui zao hoi.

Last edited by a moderator:
One Man Army Faster Stronger Smarter

Last edited by a moderator:
Sijui siku ikoje!nijuavyo enzi zetu ilikuwa huwezi kumjua usalama wa taifa wala komandoo
inawezekana labda tunazugwa tu.
Anyway siku hizi hata polisi huwa nawasikia wakitangaza msako.sijui ukishatangaza msako
utamkamata nani !labda teja au ulimkamata kabla ya tangazo.
 
Wale makomandoo unaowaona kwenye movie ni escalated through computer. Sema tu sumu huwa haionjwi. Ningekupa maeneo fulani ya kuwachokoza ili usikilizie utamu wake. Nakumbuka kuna jamaa mmoja alifanya mauaji ya kutisha na akajifungia kwenye nyumba na silaha nzito mno. Ndani ya nyumba kulikuwa na mama mmoja na watoto ambao alitishia kuwamaliza kama askari wangeendelea kuleta kiwingu. Komandoo alivyo scroll kwa chini kama nyoka na kupanda ukuta kisha kubomoa bati na kuchupa ndani na kumkamata njemba kama pazi no one knows. Hii ilitokea tz sema jamaa hawapendi publicity kama kina kova. Akina kova hata wakamate mtu and kisu, lazima wauze sura kwenye media.
 
COMMANDO wa israel anaweza ruka toka kwenye ndege bila kutumia parachute,na huku akitumia breathing techniques za yin and yang anaweza float hewani for sometime bila parachute kabla aja hit the ground

mhh ukomandoo ni mafunzo changanya na uchawi.
 
Mnajenga misuli, jengeni! Mnapasua matofali kwa vichwa, pasueni! nunueni silaha chakavu na kugeuzwa damping ground sawa! mnafanya magwaride makubwa makubwa, sawa! Lakini si vibaya kukumbuka kwamba nchi yetu ni ya3 kwa kuomba omba Duniani na ya kwanza ktk Afrika kwa taaluma hiyo! si mbaya kwa ukomandoo huo! Mwisho wa siku watoto wetu wanakalia mawe darasani, mkifa sanda viroba, badala ya kununua dawa tunaboresha na kuongeza vyumba vya maiti! daah, kweli kupanga vipaumbele tumechagua! Natuendelee kufuga simba akikosa nyama atutafune......
 
Ukiacha hiyo ya wa Izrael ambayo ni kama kuchanganya style nyingi za Japan/China na boxing, Warusi wao walikuja na yao ambayo ni mbaya zaidi. Hii hata USA wanasema wazi kabisa kuwa ni mbaya zaidi.

Komandoo huwa hana SILAHA maalumu. Komandoo ni mtu anayeweza kutumia kila kilicho karibu naye ili kujilinda. Kuna yule aliyehusika kutaka kumpindua/kumuua Nyerere ambaye alipozingirwa, bado alirukia Pick-Up iliyokuwa ikipita kasi na akaanza kuwarushia askari waliokuja kumkamata, chupa za bia.

Kuna mmoja ambaye yeye alikuwa zaidi kama JASUSI, hata nguo za jeshi alikuwa havai. Ila vita ya Uganda, alienda kupigana. Jamaa huwa akisema analala dakika kadhaa, basi dakika moja kabla, huamka kweli. Ni watu walio na uwezo wa hali ya juu na kunusa hatari inayoweza kuja.

Si rahisi Komandoo na Komandoo kupigana kwa sababu, mara nyingi wanapigana katika pande mbili tofauti. Kwa mfano, Komandoo wa Tanzania, siku zote walipigana nyuma ya front line ya Askari wa Amini, na wao wakiwa nyuma ya front line yetu. Hawa wanakuwa wanalipua magari yanayoleta chakula, kumwaga sumu na kutega mabomu sehemu wanazojua mtakuja nk nk.

USA ukiacha hao SEAL na sijui MARINES, wengine ni hawa waitwao The United States Army Special Forces (Green Berets) . Hawa pana siku niliona kipindi wakielezea jinsi walivyokuwa wakivamia Bank na kuiba. Siku moja wakawazunguka Polisi kibao. Polisi walikuwa wakitokea na bunduki zao huku wakimimina risasi, jamaa wanageuka na kurusha risasi moja tu, Polisi kwishieni. Waliwamiminia risasi nyingi sana kama zile film za Hollywood ila mijamaa ilikuwa na roho ngumu kama PAKA. Baada ya kuwa wameshakula risasi nyingi sana (mmoja alichukua zaidi ya 20 kama sikosei) ndipo kwa shida sana yakafa yote. Polisi hawakuamini walichokiona siku hiyo na ikabidi wawahi kujua ni raia gani hao. Riport ilipokuja kuwa walikuwa ni GREEN BERET, basi kila mtu akatoa salute kwa Wanaume.

Kama nilivyosema, Warusi wana Style yao ambayo hufundishwa hata KUUMA kama ikibidi. Hii style ni kuwa haina formula na kila kitu kinaruhusiwa ili mradi uuwe au kuumiza sana. Hiyo kitu inaitwa SYSTEMA. Usiombe ukutane na mpiganaji wa SYSTEMA maana atakuumiza vibaya sana kama siyo kukuuwa. Warusi ukiacha kufundishwa kupigana kwenye SYSTEMA, pia wanafundishwa KUVUMILIA maumivu ya hali ya juu. Hapo wanakuwa kama GREEN BERET ila sema piganaji yao inaacha adui zao hoi.

Mkuu Sikonge, salute sana..
 
Miaka ya 90 nilishawahi kukutana na Makomandoo kadhaa nchi za wenzetu. Hawa jamaa walikuwa kwenye kikosi kimoja kikali sana ambacho kuna miaka ya 90 mwanzoni, walishiriki kuwakomboa na kuwatorosha Wamarekani huko Iraq.

Ukiwasikiliza, ndiyo unaona kuwa hawana tofauti sana na Komandoo wa nchi nyingine au hata wa Tanzania. Sema tu ni mazoezi yepi wanafanya kila siku kujiweka fit. Pia ujuzi wa kupigana hasa style gani wanatumia. Hapa kwa kweli hizi Kung-fu au sijui Karate huwa ni cha Mtoto. Zinaheshimika sana style za Izrael iitwayo KRAV MAGA

Sikonge,...Hivi makomandoo wetu wanakula vizuri kama wa Uropa uliowaona?
 
Last edited by a moderator:
acha uongo,wenye kofia nyekundu na MP,wenye kofia ya zambarau ni makomando,wenye kofia nyeusi ni kikosi cha mzinga,mabomu,vifaru,wenye kofia za kijani ni askali wa miguu,wenye kofia za brue bahari ni askari wa anga nk.
Hata hivyo makomando utofautia kwa alama ya bawa kifuani kuna wenye nusu bawa na kuna wenye full bawa na kuna wengine ni mabawa ya kuonesha urubani,hapo upo?

umeeleza vizuri lakini umekosea kwenye askali na brue,ndiyo nini hiyo>hukwenda primary school?
 
kwa sasa...., recruit course uwe na miaka kumi na nane(form 4 leaver) then unachaguliwa kwenda commando kama umekidhi vigezo kama physically very able na oustanding in a group..., kama utaingia kwa form six(20yrs-21yrs).., utafanya recruit when u stand out physically, u will b selected...,

Kiukweli wanahitaji viungo teke na wanahitaji very strong physical abilities and mental along...,

Kina mama msione npo biased lakn kwa jeshi letu hatuna commando wa kike.., hata kwny majeshi makubwa hakuna female commandos.., kwhy u can imagine the physical ability one needs to qualify.., wale wa ghadafi sjajua level yao maana commandos pia wana levels.., hapa tz tuna level 1,2,3 na masters level commando..., asa ukimkuta mwenye masters commando ni balaaaaaa...,

Afu mkuu wale wa gadafi ni mabikra,,sa sijui wanawezaje kufanya mazoezi yote yale afu bado wanaitwa mabikra.
 
Back
Top Bottom