Making using internet

Kativo

Member
Feb 10, 2011
55
15
Jamani mimi nimeona website ya watu wanaojiita Strategic Future interventi - SFI Affilliation Marketing Program nika sign up. Wanasema wanalipa commission kwa kuelekeza wakajiunga. Sasa hivi hizi websites ni za ukweli? Naweza tajirika? Mie nataka pesa na naona labda kuna ukweli. naombeni mawazo yenu.
 
yani unataka pesa ukiwa umekalia modem yako?
amka kijana, fanya kazi....hamna mteremko maishani kama unavyofikiria...
hao wanatafuta pesa kupitia wewe, kazi ni kwako.
 
Kweli wabongo tunapenda vya bure,ndio maana hatuendelei.Sio bure nchi za 1st World Countries wanatusanifu kwa kusema;Nchi za 3rd World Countries,85% tunawaza ngono na vitu vya bure,na 15% ndio tunawaza maendeleo.Hivi wewe kwa mtazamo wako,dunia hii ya leo,unaweza kupata pesa bure bure tu bila kuhiangaikia.Just think twice.
 
Back
Top Bottom