Makinda: Wabunge msiwe kama watu wa Kariakoo!

Ole wetu tunaochuuza Kariakoo!! Kumbe sisi na taratibu zetu za biashara ni kielelezo cha kukosa mpangilio na ustaraabu? Viongozi wetu wapenzi tuliowachagua ili muwe nuru yetu hebu basi tuelekezeni namna ya kutoka katika aibu hii. Vinginevyo nanyi mtakuwa mmeshindwa. Kiongozi wa mabaradhuli naye ni baradhuli. Upo hapo mama Makinda?
 
Hili nalo ni tatizo jingine kwa watawala wetu kuwa hawajui hata diplomasia na namna ya kufikisha ujumbe waliokusudia bila kuwaumiza wengine hata kama wanachokizungumza ni kweli.

Napendekeza semina elekezi kwa ajili ya Mh. Spika pamoja na Naibu wake na wenyeviti wote wa kamati mbalimbali za bunge. Hope JK amelisikia hili na hiyo semina iwe inahusu matumizi ya lugha tu na awape yeye mwenyewe kwa sababu amekulia msoga pale uswazi
 
She needs Communication Skills; Kwa mtu kama yeye sio busara kutoa statement zinazoweza kuwa portrayed kama kashfa au looking down on people,

Tena mimi ningependa wawe kama watu wa Kariakoo kwa kupata mishahara midogo na kutiwa posho, ili wawe kama watanzania wenzao

watu hawo hawo wa Kariakoo huwaambii chochote kuhusu magamba! Watatia akili!!
 
Ndugu wanajamvi naombeni msaada wenu.

Mimi ni mkazi wa kariakoo na nimetokea kupachukia sana kwa sababu za spika kutokutuheshimu. Je nikakae wapi ambako nitaheshimika kama mtanzania!?
 
Ndugu wanajamvi naombeni msaada wenu.

Mimi ni mkazi wa kariakoo na nimetokea kupachukia sana kwa sababu za spika kutokutuheshimu. Je nikakae wapi ambako nitaheshimika kama mtanzania!?

Ndugu mbona wahangaika hivyo?? Huyo Makinda ni nani mpaka uachukie Kariakoo?? She is rubbish by the way, kawekwa tu pale, hana dira!! Hii dunia ni tambala, mbinguni tu,ndiko utapata makazi ya kuheshimika, bora na ya milele!!si hapa duniani!!
 
Jamani Kariakoo kunadhaurika hivi? wakati kula kwake kama sio kariakoo labda aijaze hivyo gari ya SPIKA magunia ya mchele kutoka DODOMA, hivi huyu Bi-Kiroboto, ajui kuwa Uhuru wa Nchi hii ulianzia Kariakoo pale jangwani? Hivi waliojenga hilo soko waliwaza kuzaulisha watu au kuwaletea watu maendeleo, au kwa kuwa kariakoo ilitokana na jina la wabeba Mizigo Carrier Cops?
 
Simlaumu sana mama makinda...nalaumu walimuweka kwenye nafasi isiyomstahili.....na haya ndo matokeo yake
 
Na akili zenu za matope kumtukana mama yenu bila sababu za msingi inavyoonekana mlizaliwa machakani ndo maana mkakosa ustaarabu,Kariakoo ndio sehemu yenye vurugu za kila aina nchi nzima ndo maana kasema vile kwani uongo hakuna vurugu Kariakoo?acheni umbulula yule ni kiongozi anaheshmika kitaifa na kimataifa sio nyie chokoraa wa Kariakoo kazi mitusi tu bas
 
shemeji mtu nini mbona povu jingi au team makinda tehe tehe taahira kweli unamheshimu wewe na misukule wenzako
 
Ole wetu tunaochuuza Kariakoo!! Kumbe sisi na taratibu zetu za biashara ni kielelezo cha kukosa mpangilio na ustaraabu? Viongozi wetu wapenzi tuliowachagua ili muwe nuru yetu hebu basi tuelekezeni namna ya kutoka katika aibu hii. Vinginevyo nanyi mtakuwa mmeshindwa. Kiongozi wa mabaradhuli naye ni baradhuli. Upo hapo mama Makinda?

huwa mnaletewa mgambo,,......,ili mnyooke na mfanye vitu kwa utaratibu!
 
ama kweli viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe... Ila kwa huyu mama amedhihirisha wanawake wa Tanzania bado sanaaa
 
alichosahau ni kwamba asilimia 80 ya mapato ya nchi hii yanatoka KARIAKOO .

kujua kwamba 80% (source?)ya mapato yanatoka hapo haindoi ukweli kwamba ni sehem yenye vurugu na wengi ya wafanya biashara hawafuati utaratibu mkuu!
 
Back
Top Bottom