Makinda "tayari" bado werema, muungano ni dhaifu kuliko wakati wowote uliopita "tundu lissu"

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Ni pale aliposhindwa kuunganisha zanzibar na tanganyika kwa kuwatenga wahanga takribani 280 wa ajali ya meli kuzama kanakwamba ni "wazanzibari" mbaaaaaaali kabisa kuleeeeeeeee, na si chamwino wala karibu na dodoma (bara)!!!!
Akakataa hoja ya HAMADI RASHIDI mbunge kutoka zanzbar, kulitaka bunge liahirishe shughuli zake kutokana na kadhia hiyo na kukubali Emanuel Nchimbi mbunge na waziri kutoka bara aichomoe hoja mezani ili kulinyima bunge shughuli ya kufanya na kupelekea kuahirisha, ieleweke hapa kuwa bunge lilikosa cha kufanya, hapakuwa na hoja mezani!!!!!!!!

Kwa wasiofahamu, watambue sasa kuwa Tundu Lissu (munyampaa) alipata kuliambia bunge kuwa muungano wetu ni dhaifu kuliko wakati mwingine wowote wa historia ya tanzania,
HEBU ONENI UDHAIFU HUU KUTOKA KWA KIONGOZI MKUU WA MUHIMILI!!!

Wafuatao walimpinga tundu lissu hadharani kwa nguvu na vijembe vikali hadi kufikia habib mnyaa kutafsiri jina tundu lissu "kizenji"

1) habib mnyaa
2) anna makinda
3) hamadi rashidi mohamed
4) selina kombani
5) jussa ladhu (spelling correction allowed)
6) . . . . .
7) . . . . .
8) . . . . .

Tukumbushane hivi Werema hajawahi tumbukia kwenye shimo alichimbalo kweli?

Please do me a fever niwekeeni ile pic. Makinda akicheza muziki na Tundu Lissu!
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=294155

weeweee, Lissu anamchezesha makinda muziki wa "muungano ni dhaifu saaana" makinda anaonekana kuufurahia sana!!!!
 
....1) habib mnyaa
2) anna makinda
3) hamadi rashidi mohamed
4) selina kombani
5) jussa ladhu (spelling correction allowed)
6) . . . . .
7) . . . . .
8) . . . . .

Tukumbushane hivi Werema hajawahi tumbukia kwenye shimo alichimbalo kweli?

Please do me a fever niwekeeni ile pic. Makinda akicheza muziki na Tundu Lissu!
Hapo kwenye RED, nimecheka hadi basi, kumbe huyu mama huwa anamind sana bwana Tundu, haa, kumbe ndo maana hata safari ya Japan walienda wote, anajua kuwa jamaa ni kichwa ila basi tu itikadi yake ya kimagamba ndo inamzuia kumpenda hadahrani.

Hapo kwenye Blue, hao wazenji mi naonaga ni wanafiki tu, akisema mtu wa CDM hata kama kitu hicho hicho ndicho wanacho kikubali utawasikia wana jifanya kukataa kweli but muda kidogo ukipita watasema vile vile, kwao sio hoja ila nani katoa hoja ndo ishsue, ni kama Magamba tu.
 
Wahenga walisema "Mchimba kisima huingia mwenyewe"
hapa naona wameingia na kisima chenyewe kina tope
 
Bunge linahitaji delivarance!matambiko ya kina chenge na uchawi wa waganga wa kienyeji wabunge ndo yanatesa bunge,watu hawajadili hoja wapigana vijembe tu na ushabiki!
 
Please do me a fever niwekeeni
Mmmhhh. Kingereza waachieni waingereza wenyewe

ni afadhali yetu wao "waingereza" chetu hawakiwezi kabisaaaa afterall if you get my point the comunication bridge is complete!
 
Ha ha haa, yule mama nadhani jana hakulala usingizi mnono! Hili ni janga!
 
Kwanza kabisa kama wewe ni mzanzibari, mtuwie radhi wabara kwani mawazo yake si yetu wote na mi binafsi kanikwaza nafikiri patriotism ya chama kwake ni kubwa kuliko ya nchi matokeo yake ndo hayo, sijui 2015 watatokea wapi hawa halafu jambo lenyewe limetokea kipindi hiki cha kutoa maoni juu ya mwali mtarajiwa(katiba)
 
lol... !!

Umenikumbusha maimuna... yaani hapa umeandika kama Lukuvi vile... ujanja wa bure kutoa na kuzuia miongozo lkn ikija kwenye kukiuma hata cha kuandika kila kitu anaongeza ed. Wenting, goed, drived eated :loco:

Please do me a fever niwekeeni
Mmmhhh. Kingereza waachieni waingereza wenyewe
 
IMG_4291.JPG
 
Makinda and Ndugai are incompetent for the post of the Speaker na hao wana mchango mkubwa sana ktk kulivuruga Bunge na kuiweka CCM ktk wakati mgumu zaidi 2015.
 
...hawakumkonyeza mapema jamani...afu ukizingatia alieomba mwongozo ni mpinzani wa kule "mbaaaaaali kabisa",
 
Ni pale aliposhindwa kuunganisha zanzibar na tanganyika kwa kuwatenga wahanga takribani 280 wa ajali ya meli kuzama kanakwamba ni "wazanzibari" mbaaaaaaali kabisa kuleeeeeeeee, na si chamwino wala karibu na dodoma (bara)!!!!
Akakataa hoja ya HAMADI RASHIDI mbunge kutoka zanzbar, kulitaka bunge liahirishe shughuli zake kutokana na kadhia hiyo na kukubali Emanuel Nchimbi mbunge na waziri kutoka bara aichomoe hoja mezani ili kulinyima bunge shughuli ya kufanya na kupelekea kuahirisha, ieleweke hapa kuwa bunge lilikosa cha kufanya, hapakuwa na hoja mezani!!!!!!!!

Kwa wasiofahamu, watambue sasa kuwa Tundu Lissu (munyampaa) alipata kuliambia bunge kuwa muungano wetu ni dhaifu kuliko wakati mwingine wowote wa historia ya tanzania,
HEBU ONENI UDHAIFU HUU KUTOKA KWA KIONGOZI MKUU WA MUHIMILI!!!

Wafuatao walimpinga tundu lissu hadharani kwa nguvu na vijembe vikali hadi kufikia habib mnyaa kutafsiri jina tundu lissu "kizenji"

1) habib mnyaa
2) anna makinda
3) hamadi rashidi mohamed
4) selina kombani
5) jussa ladhu (spelling correction allowed)
6) . . . . .
7) . . . . .
8) . . . . .

Tukumbushane hivi Werema hajawahi tumbukia kwenye shimo alichimbalo kweli?

Please do me a fever niwekeeni ile pic. Makinda akicheza muziki na Tundu Lissu!
Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

weeweee, Lissu anamchezesha makinda muziki wa "muungano ni dhaifu saaana" makinda anaonekana kuufurahia sana!!!!

Jina linabeba uhalisia wa mtu. nyaa minyoo kinyaa tu
 
Back
Top Bottom