Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 457
Kwa asphalt concete hapana, ni kiwango cha double surface ndo kinawezekana na kusiwe na complexity ya terrain kama njombe-songea, njombe-makete ambayo pia ina scarcity ya materials kama ilivyo tunduma-swanga-mpanda-tabora. Otherwise tuko pamoja na vipaumbele vya msingi. Na katika hilohilo, zijengwe barabara kwa walalahoi wengi, achana na dsm tu.