MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

  1. nadhani ameambiwa kama hata tetea swala la posho atapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae
  2. Anaona aibu kwa wapiga kura wake baada ya kupigania maslai yao kaenda kupigania maslai yake na wabunge
  3. Anataka kumklazimisha JK kuidhinisha poshom mpya
 
ivi ni mbunge yupi vile aliwahi kusema anashindwa kunenepa kwa ajili ya posho!! hii habari iliwahi kuripotiwa na gazeti la Nipashe ila sikumbuki ni toleo namba ngapi.
 
MaKinda anafanisha Bunge la tanzania na mabunge ya nje kwenye "Shibe" tu. Ukitemblea tovuti ya bunge la UK unakutana na FAQ na majibu yake kama haya

How many MPs are there in the House of Commons? - 650
How much does the Prime Minister get paid?- £142,500.
Do MPs have their own pension scheme?
What is the annual salary of an MP .£65,738
Do MPs pay tax on their salary?- Yes same as employees do.
Can MP claim allowance- Yes…..
How much does a speaker get paid - £134,565

How many MPs are there in the House of Commons? - 650
How much does the Prime Minister get paid?- £142,500.
Do MPs have their own pension scheme?
What is the annual salary of an MP .£65,738
Do MPs pay tax on their salary?- Yes same as employees do.
Can MP claim allowance- Yes…..
How much does a speaker get paid - £134,565

Msisitizo . hayo malipo ni kwa mwaka so gawa kwa 12 kupata wastani wa mshahara kwa mwezi . So mbuneg wa UK kwa mwezi anapata.......... watsnai wa £ 5000.. ambayo may be tunaweza kusema ni kama Milioni Kumi na kadhaa. ....
.
Source Frequently Asked Questions - UK Parliament

Makinda kama kufanaisha aisiachie kwenye posho tu aangalie na ya muhimu kwakza. OPENESS ni moja wapo . Wawe open ili tujue kama kweli mbunge ana maisha magumu kuliko afisa ELIMU wa mkoa au wilya. Wae Open Tuelewe kuwa Kazi ya mbunge ni muhimu na VIPAUMBELE kikubwa kwa maendeleo ya taifa wa kuliko kazi AFISA KILIMO au Ngnga wa MKOA.

Makinda na wansiasa wengine wengi aina ayke wasome hii
...............
Pay of medical practitioners varies widely in different countries throughout the world. In the UK, for example, full time self employed GPs can currently expect to earn a profit share of £100,000 per annum while PCT hospital GPs can currently expect to earn a salary of £53,781 to £81,158.[SUP][18][/SUP]

Source GP Pay in uk
Na hao wanalinga lingana malipo na wabunge huko UK ni madaktari sasa fikiria mtu kama mganga mkuu wa mkoa . haya Ajulize huko UK "RPC" na mbunge nani anapokea mshahara mkubwa zaidi ya mwenzake . Aendele kwenye fani muhimu zote. Atangundua kuwa huku afrika ni vice versa ndio maana hatuendelei

Ujumbe

Ubunge ni WITO walimu ni Kazi ?
 
Jamani ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Firauni, Ana Makinda leo alikuwa anawahutubia wapiga kura wake wa Njombe na kuwaeleza ETI nusu ya wabunge wamemwambia wanataka kuacha ubunge kwa sababu kazi ya ubunge haina pesa, ila yeye Anne Makinda ndio amewabembeleza wasifanye hivyo ili kuokoa pesa za kuita uchaguzi mwingine!!
Source: ITV, Taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu.

My Take: Watanzania wenzangu hivi mnasubili mpaka hawa viongozi uchwara watutie vidole vya makalioni ndio tujuwe kwamba wanatuzarau to the maximum!!?? nadhani sasa imetosha tuwe na utaratibu wa kuanza kuwachalaza bakora watu wanaoleta kauli za kuudhi kama huyu Spika Makinda.

waache ili bunge liwe la wazarendo tu
aseme hivi nusu ya wabunge wa ccm wanataka kuacha ubunge kwani hauna masilahi pesa waliyo tumia kununua ubunge huo haitarudi yaani wamepata hasara
 
SOURCE: itv news

Anasema wabunge wa Tanzania ndio wanaongoza kwa kulipwa posho ndogo duniani na hata wabunge wa nchi jirani kama Kenya wanawashangaa.

Huyu mama ana zeeka vibaya, asi linganishe Kenya na Tz ,bajet ya Kenya ina tegemea wahisani kwa 5% sisi ni zaidi ya 40% Kama wabunge wanaona wanacho pata hakitoshi waache ubunge watafute kazi nyingine
 
Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia...kauli za huyu mama kwa wiki hii ni za kutatanisha....mara hatagombea ubunge 2015...mara anataka kuchukua mkopo benki ajenge...leo tena katoka kivingine!..Yangu macho na masikio...ngoja nisubiri.
nadhani ndani ya hizo kauli kuna ka ujumbe fulani kanatumwa kwa yule mzee aliyekataa kuzibariki posho mpya.
 
Jamani ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Firauni, Ana Makinda leo alikuwa anawahutubia wapiga kura wake wa Njombe na kuwaeleza ETI nusu ya wabunge wamemwambia wanataka kuacha ubunge kwa sababu kazi ya ubunge haina pesa, ila yeye Anne Makinda ndio amewabembeleza wasifanye hivyo ili kuokoa pesa za kuita uchaguzi mwingine!!
Source: ITV, Taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu.

Hii ni habari njema sana! Wajue ubunge ni kazi ya wito, kama ilivyo 'ushehe', 'ushemasi', au 'uparoko'
 
Pamoja na madai kuwa ubunge unawapa umaskini humsikii hata mmoja akitangaza kujiuzulu sasa hivi kukwepa umaskini!
 
Huyu mama ni ni zaidi ya mdoli,eti anenda kuvisanifu vile vibabu ambavyo havijawahi kumiliki laki mbili kwa mpigo tangu mungu kavishusha duniani but anavikejeli kuwa jiwe mbili cha 'mtoto',eti wabunge wa nchi zingine hawashangai umaskin wetu bali wanashangaa kiposho kiduchu cha laki 2,wakati watu wanajadili kufuta posho,yeye anajadili kuziongeza,bila shaka roho yake inafanana na sura yake!!
 
Napenda damu yako na rangi yako wewe mama kwasababu wote tuu watanzania ila nakuCHUKIA TABIA YAKO MUNGUWANGU NAAPA!
 
SOURCE: itv news

Anasema wabunge wa Tanzania ndio wanaongoza kwa kulipwa posho ndogo duniani na hata wabunge wa nchi jirani kama Kenya wanawashangaa.

Kumbe ni sawa hata waalimu, madaktari, polisi nao pia kulinganisha mishahara yao na ya wenye taaluma kama zao toka nchi jirani kama Kenya? Mama ana-post menoposal hormonal imbalances depressive disorder.
 
Huyu Bibi yameshamshinda, akapumzike sasa, mbona 2015 mbali....
 
Hiki kibibi kitakuwa pacha wake jk as busara na hkima zao zinafanana kweli!!
 
Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia...kauli za huyu mama kwa wiki hii ni za kutatanisha....mara hatagombea ubunge 2015...mara anataka kuchukua mkopo benki ajenge...leo tena katoka kivingine!..Yangu macho na masikio...ngoja nisubiri.

Kama ni kweli kasema hivyo basi yale ya mnara wa babeli yanatimia. Na kweli la kuvunda halina ubani. CCM inaondoka kwa nguvu ya umma ambayo ni nguvu ya Mungu. Serkali imeparaganyika, Jk hajui aseme lipi aache lipi, amepoteza uhalali wa kusemea jambo lolote! Aliowateuwa wote ni bomu.

Kama mkuu wa muhimili muhimu kabisa wa utawala anasema hivyo maana yake ni kwamba serikali imeshindwa ipo ICU. Alama za nyakati zikp wazi kwamba watu sasa wanawachukia wabunge karibu wote wa ccm

Dhambi ya kumpiga chini Sitta inawatafuna.

Watu na akili zao zote eti wanamuondoa Sitta na kumuweka bi kiroboto! Kwa maslahi ya nani?

Zaidi ya asilimia 80 ya watz na jumuiya za kimataifa waliridhika sana na utendaji wa Sitta, ccm kwa maslahi ya watu chini ya asilimia moja ikamuondoa na kumuweka huyu mama!

Walitiwa upofu ili wananchi wakombolewe.
Sasa jk ametiwa ububu. Amechanganyikiwa, anajuwa watu wanataka aseme jambo muhimu, nayeye mwenyewe anataka aseme na anaonona umuhimu wa kusema lakini domo lake maskini limekuwa zito, hajui aanzie wapi,

Kama seremonial president vile,si mtendaji tena.

Kweli Jk ni janga la taifa ambalo halitasahaulika.

Acha walinywe kwa sana, wamelikoroga wenyewe kwa kudhani kuwa kizazi hiki ndo kile cha mwalimu. Wameshindwa kutambua kwamba wananchi sasa wanaona mbele zaidi kuliko viongozi na wana maamuzi yao hata bila wao. Haburuzwi mtu sasa hivi.

Pipoooooz........
 
Nashindwa kuchangia maana sijawahi fika Njombe yawezekana hiyo pesa wanayopata wabunge ni kidogo sana kulinganisha na kipato cha mtu wa kawaida anayeishi kwa kubangaiza uko Njombe.
 
SOURCE: itv news

Anasema wabunge wa Tanzania ndio wanaongoza kwa kulipwa posho ndogo duniani na hata wabunge wa nchi jirani kama Kenya wanawashangaa.
Kwani ubunge ni ajira?
Na Wabubnge wakiacha ubunge nani atalia mchozi, Huyu mama sasa anatuboa.
Mawazo yamekaa ki-ufisadi ufisadi tu.
Wabunge wetu wakitaka hela zaidi wakalime, waachane na biashara y ubunge.
 
SOURCE: itv news

Anasema wabunge wa Tanzania ndio wanaongoza kwa kulipwa posho ndogo duniani na hata wabunge wa nchi jirani kama Kenya wanawashangaa.

Pengine mama hajui wakenya wanashangaa nini. Ki ukweli wanashangaa ndio, lkn wanashangaa tumewezaje kuwa na Jengo zuuuri la bunge lkn Spika wa aina yake.

Kwa mnaodhania uchawi lzm ufanyike uchi, basi leo nawapa siri, huyu mama ni mchawi. Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kusimama mbele ya watu ambao kipato chao cha mwaka hakifiki mshahara wako wa mwezi mmoja halafu ukawaambia maneno ya utupu namna ile.

Ujinga wa watanzania ndio mtaji wa CCM.
 
Mkiona kauli kama hizi zinatolewa na kiongozi mkubwa kama huyu mama tena ni wa chama tawala, basi mjue nguvu ya umma imefanya kazi na hivi soon 2015 tutakwenda kurudisha nchi yetu toka mikononi mwa mkoloni mweusi(ccm), so kitu cha msingi kwa sisi wanamageuzi ni kuendelea kukaza buti ktk kuendeleza harakati kuanzia humu mtandaoni mpaka kitaa ndipo hao magamba watajua sisi ni akina nani.
 
Back
Top Bottom