MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

Leo hii kaja na kali nyingine!

Mh. Spika Anna Makinda amesema nusu ya wabunge wetu wanataka kuacha ubunge kutokana na ukata,
Je, hii ni kweli? na kama ni kweli,Je, wabunge wa CDM nao wamo?

Source - ITV taharifa ya habari jioni hii
 
Nnapomshangaa anazungumza swanglish huko njoluma sijui wanamwelewaje? Mama anahalalisha posho
 
Jamani ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Firauni, Ana Makinda leo alikuwa anawahutubia wapiga kura wake wa Njombe na kuwaeleza ETI nusu ya wabunge wamemwambia wanataka kuacha ubunge kwa sababu kazi ya ubunge haina pesa, ila yeye Anne Makinda ndio amewabembeleza wasifanye hivyo ili kuokoa pesa za kuita uchaguzi mwingine!!
Source: ITV, Taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu.

My Take: Watanzania wenzangu hivi mnasubili mpaka hawa viongozi uchwara watutie vidole vya makalioni ndio tujuwe kwamba wanatuzarau to the maximum!!?? nadhani sasa imetosha tuwe na utaratibu wa kuanza kuwachalaza bakora watu wanaoleta kauli za kuudhi kama huyu Spika Makinda.
 
Itakuwa vema sana kama wameona wameshindwa kutumikia wananchi na kujitumikia wenyewe na kutetea maovu ya serikali. Ni vema tubakiwe na wawakilishi wachache ila wenye nia dhabiti ya kulitumikia Taifa.
 
Nimemuona anaongea utumbo mtupu.. ati ooh wanalipwa kiduchu kuliko mabunge mengine yeyote.. sasa kama wanataka kuacha ci waache.. kwani tuliwatuma..? ci walikuja wenyewe kuomba.. damn.. yaani wananikera kweli hawa.. pumba pumba pumba..
 
Mama bado anakomaa na mambo ya posho? yeye anaona wenye hari ngumu ni wabunge pekee!
 
Ametoa mapovu na nusu ya maneno aliyozungumza ni uongo mtupu. Kweli mtaji wa magamba ni ujinga ........ Mpaka msoma habari wa ITV kacheka lol..... Magamba are Dogs in a manger lolz...
 
Itakuwa vema sana kama wameona wameshindwa kutumikia wananchi na kujitumikia wenyewe na kutetea maovu ya serikali. Ni vema tubakiwe na wawakilishi wachache ila wenye nia dhabiti ya kulitumikia Taifa.
Amesema wabunge waliowengi waliutafuta ubunge kwa kuwa walisikia mshahara wa bunge ni Tsh mil 12
Lakini walipoingia mjengoni wamekuta hali ni tofauti kabisa....so wanataka kuachia ngazi
 
Itakuwa vema sana kama wameona wameshindwa kutumikia wananchi na kujitumikia wenyewe na kutetea maovu ya serikali. Ni vema tubakiwe na wawakilishi wachache ila wenye nia dhabiti ya kulitumikia Taifa.

Tena kwa kuongezea hata nahao mawaziri nao pia wapungue, ili tuweze kubana bajeti vizuri.
 
Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia...kauli za huyu mama kwa wiki hii ni za kutatanisha....mara hatagombea ubunge 2015...mara anataka kuchukua mkopo benki ajenge...leo tena katoka kivingine!..Yangu macho na masikio...ngoja nisubiri.
 
Leo hii kaja na kali nyingine!

Mh. Spika Anna Makinda amesema nusu ya wabunge wetu wanataka kuacha ubunge kutokana na ukata,
Je, hii ni kweli? na kama ni kweli,Je, wabunge wa CDM nao wamo?

Source - ITV taharifa ya habari jioni hii

nimemshangaa sana huyu mama sijui uelewa wake ukoje.hao wabunge walitumwa au kulazimishwa hio kazi?mbona wanangangania hebu waache.kudadadeki
 
bora waachie ngazi kumbe hawako pale kwa maslah ya taifa wapo kwa maslah yao haina maana nibora waondoke.tena mm naomba mungu magamba wote watoke vijana cdm waongoze kua na wabunge weng
 
Yooo maaaweee!!!!
Wanasubiri nini!!?? Ila wakumbuke marejesho ya mikopo waliyochukua kuonga wapiga kura!!
 
Write a comment...
Mimi Mwanakijiji

Kama Ubunge ni "umaskini" kwanini matajiri wanafanya kazi kubwa sana kuutafuta? Ingekuwa vizuri tuwape maskini maana hao tayari "umaskini" wameshauzoea!
Kitu ambacho bado kinanichanganya kwenye hii taharifa ya huyu mama ni Je, wabunge wa Chadema nao wamo
kwenye hilo sakata la kung'atuka kutokana na maslahi madogo au ni wabunge wa CCM tu?
 
Back
Top Bottom