Makinda,bunge na ufisadi......Tukae Chonjo

Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Tumeona hatua ya kwanza ya uchaguaji wa viongozi wa awamu mpya...lakini hili ambalo linatokea bungeni sasa hivi siyo la kulikalia kimya hata kama hatuwezi kubadilisha ila tunaweza kuongena wakajua kuwa tunajua....
jamani kipindi kilichopita tulishuhudia mapinduzi makubwa tu bungeni kutoka kwa spikka sitta,siyo makubwa sana ila yanafaa kujivunia kwani bunge siyo bubu tena na wabunge hawalali ovyo na kusahau majukumu yao lakini katika kipindi hiki spika wa sasa alipokuwa naibu alikuwa akisifika kwa kukwepa au kuziacha hoja ngumu zinazodai maelezo na pia hata kuzizima.Sasa bunge linavyopata kasi na nguvu yake kurudi kuna kundi la watu ambao hawaitaki hiyo hali hili ndilo kundi ambalo lina mafisadi na waovu wa serikalini na kwa sera na experience ya spika wa sasa.....watanzania wengi wanabaki na maswali................JE NI JUHUDI ZA KUUZIMA UPINZANI?kama hapana inaweza kuwa pia JUHUDI ZA KUWALINDA MAFISADI?
 
HE WHO PAYS THE PIPER CALLS THE TUNE. waliofanikisha ndoto ya Makinda kuwa Speaker ndio watakaohitimisha agenda zao .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom