Makinda azungumza na waandishi; afafanua jina lake, akataa kuomba radhi

dah kweli Mungu anajibu maombi. Nilishamshauri mke wangu Anna akabadili jina mahakamani; ilikuwa inaniuma kweli kuona mke wangu mwenye mvuto anafanana jina na huyu mama mwenye sura kama kinyago cha mpapure.

muogope Mungu wako. mama makinda hakujiumba ujue.
daimaa kumbuka hujafa hujaumbika. ni anagalizo tu
 
Hili jimama jinga kwelikweli!

Yeye ni mkinga wa Njombe,ni mswahili wa Tanzania na wala si mzungu(European)! Hao ndugu zake Wakihehe au Wakikinga huwa wanatamkaje hilo Jina lake????????

Anne,Anna,Hannah ni jina kwa mwanamke lenye maana ileile moja. Tofauti ni matamshi tu kutegemeana na mazingira,eneo,lugha au Taifa. Waingereza wanatamka Anne kwa maana ya jina hilohilo. Kilatini wanatamka Anna, Watanzania(waswahili) wanatamka Ana,Waisraeli/Waebrania wanatamka Hannah.

Sasa huyu Kigagula Ana Makinda siku atakapotembelea nchi tofauti na Uingereza:yaani nchi kama Italia,Israel,Ujerumani n.k ANATAKA KUTUAMBIA KWAMBA KILA NCHI ATAITISHA KIKAO KUWAAMBIA WAANDISHI WA HABARI AU KUWAFAFANULIA KUWA YEYE NI ANNE MAKINDA? Maana vyombo vya Habari vya nchi husika vitaaandika Jina hilo kulingana na lugha yao!!!

Kweli Tanzania kwa sasa haina SPIKA kabsaaaa! Huwezi kuitisha press conference kuzungumzia JINA! Ni upuuzi mtupu.
 
muogope Mungu wako. mama makinda hakujiumba ujue.
daimaa kumbuka hujafa hujaumbika. ni anagalizo tu

huyo mama simpendi; wala usinilazimishe.

ni mmoja ya watu wanaojifanya wanaongoza nchi lakini wanaizika nchi yetu kwa ,maslahi yao binafsi.


ukichanganya na hiyo sura ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa chuki dhidi yake inaongezeka.

simpendi nasema tena simpendi
 
Hata afanyeje yeye atabaki kuwa Anna tu hata kama ataenda mahakamani hatubadilishi ng'ooooo!!! Tangu lini kwenye Kiswahili tukatamka Anne? Mama Aibuuuuuuuuuuuu!!!!!!!! Asubiri pale atakapokuwa anaongea na Wathungu ndo wamwite Anne kwetu ni Anna (AnaMakinda!!!)

Angalia munafikiri huyo ni ANNA Makinda ua ANNE MAKINDA!!!
 
Hi ni moja ya tabia za kinadada kubadilisha majina yao yaonekane ya kizungu.,kwa mfano christina anataka aitwe tina...akaona aitoshi akamua ajiite tyna....ni usistaduu tu....bad to happen kwa spika wetu..
KUMBE MAMA YETU NAYE NI SISTADUU??!i
 
Kwa mama Tiba, kama ukoloni haujamwathiri sana atabaki kuwa Anna Tibaijuka; ila kama ukoloni umemkolea kisawasawa kama mama Mac, basi anaweza hata kujiita Annie Tiber i jyk (soma anie tibainchjiiik)
 
Hiyo ni colonization of mind! Kakosa cha kuitia press conference kama public figure anaita waandishi kwajili ya kutoa ufafanuzi wa jina lake? Empty mind kabisa
 
Acha arekebishe si anataka liingie kwenye marekebisho ya katiba mpya.
 
Back
Top Bottom