pendekezo mbunge wa vuti maalumu alipwe mshahara mdogo kuliko mbunge wa jimbo, mbunge wa vitu málumu asiteuliwe kuwa waziri na ubunge wa viti maalumu mwisho miaka mitano
pendekezo mbunge wa vuti maalumu alipwe mshahara mdogo kuliko mbunge wa jimbo, mbunge wa vitu málumu asiteuliwe kuwa waziri na ubunge wa viti maalumu mwisho miaka mitano
Wabunge wa viti maalum wa nini? Wabunge wa majimbo wanawawakilisha wananchi wote walioko jimboni wakiwemo wanawake, walemavu, n.k. Viti maalum ni anasa, gharama isiyokuwa ya lazima. Wengi wa wabunge hawa huhudhuria tu, hawashiriki ktk vikao vya bunge. Mbele ya safari tupiganie kuipunguza idadi ya wabunge, tunaumizwa wananchi wa kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.