Makinda asema ukweli

Hivi ilkuwaje akapewa uongozi wakati hata hana mume. Mi nnachojua uongozi mkubwa kama huo inafaa apewe mtu anayejua walau kuongoza hata ktk ngazi ya famili kama ilivyo kwa rais. People of her spinster life style ni social problem wanapopewa uongozi
Unasema hana mume? hivi kweli unawaelewa watu wa ccm wewe!
 
It is too early kujua yuko kambi gani, maana wana CCM wengi ni bendera fuata upepo, hubadilisha misimamo kutokana na mwelekeo wa upepo.

Lakini kulingana na Pasco [member wa JF], alisema akimnukuu Rostam Aziz kwamba, Rostam Aziz ndiye aliyemmaliza Msekwa na kumpa u-Spika Anko Sam Six, na pia ndiye aliyemnyang'anya u-Spika Sam Six na kumpa Mama Makinda. To what extent hiyo connection ilivyo, mimi sina hakika. Sitta mwenyewe alishakiri ITV kwamba waliommaliza kwenye u-Spika ni mafisadi, so inawezakana kuna ukweli mkubwa.

So, kama Makinda aliwekwa hapo kwa nguvu za RA, na RA ni rafiki/mshikaji wa EL, then huyo mama atakuwa kambi ya EL. Lakini ni mapema sana, siasa ndani ya CCM sasa hivi hazieleweki, wengi wao ni vinyonga.

Mkuu 6 aliwageuka inawezekana na huyu mama akafata nyayo za muzee 6
 
Nadhani anamaanisha kwa sasa anapanga safu upya tayari kwa kikao kingine cha 'matusi' bunge lijalo. Huyu mama kashusha hadhi kabisa bunge la Tanzania. Tusubiri January/February.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,

lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.

kama kwenye ongezeko la posho!!
 
Bi kiroboto yeye ni mwongo no 1.Natena anazidi kudangana fika jimboni kwake utaona uongo wake! Hana jipya huyo
 
Mi kwakweki naudhika sana ninaposikia Spika wa Bunge la nchi yetu(Tanzania) anaongeaongea bila kujua anachokiongea kina madhara gani au kitatafsiriwa vipi na wanaomsikiliza; imekua ni kama desturi yake Bi-kiroboto, kutoa matamuko ambayo ayaendani kabisa na hadhi yake, yeye si kiongozi wakuibuka na kuanza kutuhumu viongozi wenzake wakati yeye mambo anayapeleka mrama, kwa nafasi yake ana uwezo kabisa kuonana na hao anaowahita wahongo na kushauriana na nao kabla ajaenda kwenye media. Kwa hali hii imani kwa waliokuwa wanamuona kama Mungu mtu imepungua kabisa na inabidi aanze kujiuliza ni nini alichowafanyia wananchi wake!.
 
Mi kwakweki naudhika sana ninaposikia Spika wa Bunge la nchi yetu(Tanzania) anaongeaongea bila kujua anachokiongea kina madhara gani au kitatafsiriwa vipi na wanaomsikiliza; imekua ni kama desturi yake Bi-kiroboto, kutoa matamuko ambayo ayaendani kabisa na hadhi yake, yeye si kiongozi wakuibuka na kuanza kutuhumu viongozi wenzake wakati yeye mambo anayapeleka mrama, kwa nafasi yake ana uwezo kabisa kuonana na hao anaowahita wahongo na kushauriana na nao kabla ajaenda kwenye media. Kwa hali hii imani kwa waliokuwa wanamuona kama Mungu mtu imepungua kabisa na inabidi aanze kujiuliza ni nini alichowafanyia wananchi wake!.Naungana sana na wewe miaka yote hii aliyokuwepo bungeni kaifanyia nini Tanzania na Njombe kwa ujumla,Jimboni kwake kuna vyanzo vingi vya mapato ,maji aridhi yenye rutuba,Nasikitika sana njombe Maji yanasumbua kuna kakipande karami kama kilometer 1,wananchi wake wanashindwa kwakupata matibabu,Hospital iliyokuwepo kaiua mwenyewe kisiasa.Sasa huku mama anataka kutwambia nini huyu,? Hana jipya akae kimya tu
 
Hata yeye yupo kwenye kundi la wanasiasa wanaotudanganya wananchi.Juzi ametudanganya kwamba Dodoma maisha yamepanda kwa wabunge tu.Tena yeye ndiyo kinara wa wadanganyaji.

Mama mzima tena spika mwongo mkubwa. Dodoma guest houses hazizidi elfu 30 kwa kulala na hotel ukiondoa st Gaspar ambako na uhakika hakuna wabunge wanao lala huko hotel nyingi chumba na sebule yake ni sh 60000. Ni guest ipi atutajie iliyoko Dodoma inayotoza laki moja kwa siku ya kulala
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,

lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.

Wana JF,

Pamoja ya kuwa ninatofauti kubwa sana Anna Makinda ila swala la posho ni kizungu mkuti sana.

Either wamekosea ku present issue ya posh kwa wananchi.

Zitto kabwa

Afafanue kuhusu posho na hali hali ya uchumi wa tanzania kwa ujumla tena kiufasahaaa sana ili wananchi watambue kwanini wabunge wapewe posho au kwanini wabunge wasipewe posho.

VS

Anna Makinda

Afafanue kuhusu posho na hali hali ya uchumi wa tanzania kwa ujumla tena kiufasahaaa sana ili wananchi watambue kwanini wabunge wapewe posho au kwanini wabunge wasipewe posho.

My Take;

Ni mfumo mbovu wa serikali yetu katika kusimamia na kutekeleza shughuri zote za wananchi wake katika kukuza uchumi wa nchi, ambao utawezesha kuongezeka kwa Posho Mishahara ya wafanyakazi shughuli zote za kilimo kuendeshwa katika hali ya kipato kisicho muuumiza mkulima na kadharika

Ukipinga hoja zao za kupeana posho na kukemea ufisadi u will be branded mnafiki na mzandiki.
Sijawi kusikia Anna akikemea ufisadi.
Kitu kimoja ni hakika ambacho hakina mfalme, tajiri wala maskini. Nacho ni kifo.Gaddafi yuko wapi na ufalme na utajiri wake!
Wakisikia watu wakilaani ufisadi mioyo inaenda mbio na kuanza kuhara kama mabata. Walaaniwe.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,

lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.
Mkuu nadhani hukuelewa kuwa nafsini mwa Makinda alimaanisha kuwa wanasiasa wanadanganya wananchi wanaposema kuwa ongezeko la posho si halali kwa wabunge ilhali (kwa maoni ya Makinda) ni halali.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,

lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.

anazeeka vibaya hata yeye ni mwanasiasa yale aliyowadanganya wapiga kura wake amesahau?au kwasababu hawajaoji?genesis ya yote haya ni kupanda kwa posho anatafuta sympas ya wananchi na uongo anaousema ni kitendo cha wabunge kuzungumzia ongezeko hilo na walengwa wakubwa ni cdm.walianza na kauli kuwa eti kuna wapiga kura huwana wasubiri mlango wa bunge ili wawape misaada this time around wanadai eti gharama za maisha ktk mji wa dom zimepanda.hivi mbinu hizi za kutudanganya ambazo zimedumu kwa miaka 50 wanafikiri zitaendelea tena miaka 50 ijayo?shame on them!
 
Tatizo siyo kusema ukweli bali tujiulize ukweli wake unatusaidiaje?
Makinda amekuwa mstari wa mbele kutetea kuongezeka posho za wabunge,Je gharama za maisha zimepanda kwa wabunge tu?
Anaposema hizo posho hutolewa kila mbunge anapohudhuria kikao anataka tuamini kwamba pesa itatumika kidogo kwa vile wabunge wengine hawatahudhuria? Kama itakuwa hivyo chenji itakayobaki yuko tayari kuitangaza mwisho wa kila kikao?
Mi nadhani huyu mama yetu kakurupuka ndiyo maana kauli yake ilikinzana na ile ya katibu wake.Kama yeye ni mbunge,na wabunge ni wanasiasa,harafu wanasiasa hao ni wadanganyifu then yeye ataponea wapi?
Je hakujua kwamba posho ya laki 2 kwa siku ni sawa na mshahara wa mwezi mzima wa mwalimu wa shule ya msingi? Vp kuhusu walinzi binasi wanaolipwa elf 60.Na mkulima wa Tukuyu anayeuziwa mfuko wa mbolea elf 95000 ataendeleaje? Kwani mi naamini hata akikopa,kipindi cha mavuno atazuiwa asiuze nje ya nchi kwenye bei inayoridhisha ili ndoa ya serikali na wafanyabiashara walanguzi idumu.
Endapo mama Makinda angeshauri kufanyika kwa mpango maalumu wa kupunguza 'inflation' ukiwamo mpango wa kupunguza matumizi ya fedha za serikali pamoja na hizo posho ingechangia kuondoa tatizo.Kwa uelewa wangu mdogo nadhani huyu mama hana uelewa wowote kuhusu monetary economy ndiyo maana hajui kwamba posho hizo zitaongeza mfumuko wa bei.
Nadhani amedhihirisha kwamba'wamethubutu kutudanganya,wameweza kuzima mijadala ya richmond na meremeta na watazidi kusonga mbele kujiongezea posho ili gap kati ya tajiri na masikini lizidi kuwa kubwa'
Mungu wabariki wadanganyika.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimemuona Speaker Makinda akisema kuwa kuna wanasiasa wanawadanganya wananchi,

lakini wanasiasa hao wajue kuwa jinsi siku zinavyokwenda uongo wao unagundulika na wataumbuka. Binafsi nakubaliana na Mheshimiwa Speaker na kuwasihi viongozi kuwa wakweli na waadilifu kwa wananchi.

Arudishe hela halizo pewa na RA ili achakachue bunge..na naomba afute posho za wabunge..akifanya haya nadhani hiyo kauli aliyoitoa itakuwa haimuhusu yeye...
 
Back
Top Bottom