Makinda amziba mh. Kafulila mdomo Bungeni

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
2,569
499
makinda amuomba mh. kafulila aulize swali la nyongeza kwenye wizara ya madini ila asichafue hali ya hewa TBC Bungeni now.......jamani huku sikuzibana midomo kweli...?
 
hao ndo watawala tz unafik mbele wajibu hakuna,tujipange vijana wote kuikomboa nch yetu bila hivyo hamna ufanis
 
Ngeleja alikuwa anamjibu zito swali lake kuwa ni lini serekali itamaliza tatizo la umeme kwenye jimbo lake lote na baada ya ngeleja kumjibu na zito kuridhika na majibu yake ndipo Mh Kafulila alipo omba kumuuliza ngeleja swali la nyongeza makinda akamruhusu na kumuomba tafadhali usichafue hali ya hewa hahaha huyu mama jamani ni kichefuchefu
Ilikuaje amwambie hivyoooo
 
Lakini sia aliuliza? Swala la kuchafua hali ya hewa ni subjective.
 
Alijua atagusia swala la waomba rushwa wa kamati.alilitoa na speake akauchuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom