Makinda ampinga Zitto hoja ya Kumuondoa Waziri Mkuu

huyu dogo ina maana haelewi umuhimu wa vote of no confidence ili kuweza kuketa hoja binafsi? Anadai anaona bunge linakuwa na uchama zaidi badala ya kuwa wamoja katika kuikosoa serikali. Huyu dogo ametumwa na wazee wa ccm au? Tutegemee nini majibu ya spika kwa hili?

siasa = si hasa
 
Huyu dogo Ina maana haelewi umuhimu Wa vote of no confidence ili kuweza kuketa hoja binafsi? Anadai anaona Bunge linakuwa na uchama zaidi badala ya kuwa wamoja katika kuikosoa serikali. Huyu dogo ametumwa na wazee Wa CCM au? Tutegemee nini majibu ya spika kwa hili?

leo ndo kaujua utaifa? siku zote anatembea nchi nzima anahubiri chama cha majambazi, akizomewa anafanya mipango vijana wanawekwa ndani, ole wake arudi kwetu kutapika utumbo wa nguruwe ndo atajua vijana wamechoka na magamba.
 
Kaomba mwongozo kuwa wabunge wanagawanywa na huo utaratibu wa sahihi...

Tungoje maamuzi ya Bi. Kiroboto..
Nyie wagosi mnaoishi katikati YA matajiri waliowaibia ardhi- hata Mkapa amenunua ardhi yenu!! ukoo wa ubunge wa Makamba lazima ung'olewe!! "heri mchawi kuliko mnafiki" January kwani kapigwa "ZONGO" NA NANI?
 
Wanakera mpaka unatamani kuyaua yote! Juzi kelele nyingi leo wamefyata wanakuja na ishu mbovu mbovu eti public stunt! Ka nkera huyu ***** hajui tu
Siku nguvu ya uma ikiwaangukia ndo wtajua sijui public stunt ndo nini mafirauni wakubwa hao...
 
Huyu dogo Ina maana haelewi umuhimu Wa vote of no confidence ili kuweza kuketa hoja binafsi? Anadai anaona Bunge linakuwa na uchama zaidi badala ya kuwa wamoja katika kuikosoa serikali. Huyu dogo ametumwa na wazee Wa CCM au? Tutegemee nini majibu ya spika kwa hili?

Anaumwa ule ugonjwa wa kutikisika ubongo!!! Yaani ina maana yale anayopigia kelele kamati ya Nishati na madini leo hayaoni? Hivi haju kule bungeni tupo kichama? Kama si kichama mbona waliungana wasimchague Komu kwa EAC Assembly? Aiseeee kumbe alipokuwa amemshikilia bango Ngeleja alikua anataka kile kiti cha Uwaziri wa Nishati na Madini, ukashtukiwa!!! Kawange Tanga kwenu usilete ujinga hapa, kwana inaelekewa ni kilaza maana hata shule za Secondary Tanga ndiyo zinashika mkia Tanzania. Mbumbumbumbumbumbumbu!!
 
ccm wanatafuta pakutokea, makamba anaogopa kuwakana mabwana zake lakini pia anaogopa kupoteza umaarufu kwa wa tz.
 
Sijafika pa kumlaumu Makamba Jr. kwa sababu hajasema kitu zaidi ya kuomba mwongozo na kuambiwa asubiriwe....sijui unatoa wapi hiz lawama tusubiri tuone anania gani...labda unanyeti umezipata uzilete...kwani sasa wanadadili report za kamati na spika ndo anaongelea hilo sasa

Huyu dogo Ina maana haelewi umuhimu Wa vote of no confidence ili kuweza kuketa hoja binafsi? Anadai anaona Bunge linakuwa na uchama zaidi badala ya kuwa wamoja katika kuikosoa serikali. Huyu dogo ametumwa na wazee Wa CCM au? Tutegemee nini majibu ya spika kwa hili?
 
Art. 53A of the Constitution of URT,1977, provides for Vote of No confidence against Premier.

MASHARTI
1. Vote of no confidence must relate to the PM's failure to perform his job (Art. 53A (2)(a). This has no doubt that he's really poor performer of his job.
2. Art 53A(2) (b) &(c) requires that a motion for a Vote of No conf shouldnt be brought less than 6 months tangu ateuliwe, and such motion has not been brought to bunge and rejected by it for not less 9 months..No doubt theres compliance.
3. Art 53A..
 
Huyu nilimdharau tangu siku ile alipopeleka hoja ya kishetani bungeni kuwasulubu wapangaji.
 
Back
Top Bottom