,Wanajf,
Kwa muda siku mbili tumeshuhudia wabunge wakiongea kwa uchungu na wengine kufikia hata kuwanyooshea vidole mawaziri na kuwaita wezi na ndio wanaolitafuna taifa. Mwananchi yeyote mzalendo atakuwa ameguswa vilivyo kwa jinsi wawasilisha hoja walivyokuwa wakiwasilisha hoja zao.
Wakati wa kufunga mjada wa majadiliano wa kamati za kudumu za mahesabu, Mhe Zitto Kabwe alisema kama mawaziri waliotajwa kutokuwawajibisha walio chini yao hawajawajibika basi wabunge wazalendo wenye uchungu na maslahi ya taifa hili watie saini na zikifika 70 plus 1 watapeleka hoja mbele ya meza ya spika ili kiongozi wa serikali bungeni awajibishwe kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani nae.
Nimeona hii hoja ya Mhe January Makamba nimeishiwa na nguvu na kuona yote ninayoyaona ni ndoto.
yafaa nini basi kugonga meza kwa hasira na kuongea mpaka mate yatoke kwa hawa CCM MP's. Huyu ni Makamba
January Makamba‏@JMakamba
Kanuni zinasema baada ya kupata #Sahihi70 unahitaji kutoa notice ya siku 14 ili hoja ijadiliwe. Bunge ends in 3 days. #PublicityStunt?
...elewa, siku zisizopungua kumi na nne
kabla ya siku inayokusudiwa kuwasilishwa
bungeni; kwa hiyo siyo lazima kikao hiki, inaweza kuwa jikao kijacho lakini notice itolewe siku kumi na nne kabla ya kikao kijacho. Kikao kijacho kinaanzawiki ya kwanza ya mwezi juni 2012, hivyo wanatakiwa kuwasilisha siku yoyote kuanzia j3 hadi tarehe 14 may 2012. Januari anataka kuwachanganya watu tu.
Wanajf,
Kwa muda siku mbili tumeshuhudia wabunge wakiongea kwa uchungu na wengine kufikia hata kuwanyooshea vidole mawaziri na kuwaita wezi na ndio wanaolitafuna taifa. Mwananchi yeyote mzalendo atakuwa ameguswa vilivyo kwa jinsi wawasilisha hoja walivyokuwa wakiwasilisha hoja zao.
Wakati wa kufunga mjada wa majadiliano wa kamati za kudumu za mahesabu, Mhe Zitto Kabwe alisema kama mawaziri waliotajwa kutokuwawajibisha walio chini yao hawajawajibika basi wabunge wazalendo wenye uchungu na maslahi ya taifa hili watie saini na zikifika 70 plus 1 watapeleka hoja mbele ya meza ya spika ili kiongozi wa serikali bungeni awajibishwe kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani nae.
Nimeona hii hoja ya Mhe January Makamba nimeishiwa na nguvu na kuona yote ninayoyaona ni ndoto.
Kifungu cha 133 (3) a) PM kitampiga chini, hizo 14 days si lazima bunge liwe mkutanoni, na 20% zipo wazi, na hoja ya namna hiyo kutokuwa na imani for 9 months haina uzito, MPs wakiamua hana la kupona, itakuwa ngumu mno la sivyo awawajibishe those sleeping & corrupt ministers....
Hivi inamaana Mjanja Zitto wa Kabwe halijui hili au? Kaazi kweli kweli. Tuanakurupuka sana kutaka umaarufu
Anataka kuonyesha kua Zitto kakurupuka! Watu tuna uchungu na nchi yetu ye anakuja na mambo ya public stunt? Manina!Offcourse tunataka publicity stunt!!
Yeye kinachomuuma nini?? Si asafiri afike Dar salama amekazania kutweet!
Aende akaoshe kucha kilaza mkuu huyo!!
kikao kijacho ni cha bajeti hatutapokea hoja hiyo kwishine
J. Makamba mnafiki mkubwa
Hovyo kabisa huyo kilazaduh mi nimem-mind kinyama! anastahili kuchapwa viboko...
Januarymakamba: so what!???
Hivi inamaana Mjanja Zitto wa Kabwe halijui hili au? Kaazi kweli kweli. Tuanakurupuka sana kutaka umaarufu
Mohamed Shossi,
Sijui kama nasoma na kuelewa kifungu 133 (3) (a) na kuelewa sawa sawa:
(3) Hoja ya kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu haitajadiliwa
na Bunge isipokuwa tu kama:-
(a) taarifa ya maandishi iliyowekwa saini na
kuungwa mkono na Wabunge wasiopungua
asilimia ishirini ya Wabunge wote itatolewa
kwa Spika, siku zisizopungua kumi na nne
kabla ya siku inayokusudiwa kuwasilishwa
Bungeni;
Kama naelewa, kuna dhamira ya kuwasilisha hoja ambayo inapaswa iungwe mkono na wabunge wapatao 20%. Kwa mahesabu ya Zitto Kabwe wabunge 70 ni 20%. Baada ya hapo hoja hiyo itawasilishwa kwa Spika. Hii ni process ya kwanza.
Process ya Pili ni suala la lini inatakiwa kuwasilishwa bungeni. Hapo Zitto hakusema! Na mimi nataka niamini Zitto sio mbumbumbu. Huenda wanataka kuwasilisha hoja hiyo bunge lijalo? Je, Zitto angesubiri atafute saini kwenye bunge lijalo wakati vuguvugu hili limepoa?