Makinda acharuka bungeni

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
amwambia mkulo atafute majibu ya maana kwa swali la mh. Zitto baada ya majibu ya awali kukataliwa... nahisi mama ameamuka toka usingizi wa ccm.
 
Wao wasiamke, watanzania tayari wameamka kwahiyo wao wakiendelea kulala we have good option.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom