Makinda aanza kazi aliyotumwa

Jamani huyu mama ni mzigo mzito. Mtaona mbele ya safari. Siku moja watu watapigana ndani kama kenya na somalia
 
Kila nikimsikia huyo spika wa makamba na nikikumbuka maneno ya katibu wake,huwa natamani hata kubadili jinsia .ni sawa na kumpeleka bongolala china akawakilishe nchi kwenye uhandisi.unadhan wahandisi watakubali?yaan huyu spika ananichefua zaid ya kaka yake lukuvi.hili bunge lazima litamshinda,hafananii na haliwezi.labda amuongoze pro maji marefu na mama rwakatale,ila kwa Tundu Lisu,Mnyika na Regia kamwe hataweza mpaka arudi darasani kuanza upya sekondari
 
Huu sio wakati wa uchamchama, ni wakati wa utaifa. anawaangusha wanawake wa Tanzania. I though she is going to be tha mother of the nation but aaaa.

Huyo mama kuuweka UTAIFa mbele uuuuwiiiii its over my dead body jamani hawezi kabisa ndani ya serikali ya CCM uuwiii atatokota.

Kwani nakuambieni hii miaka miwili hata serikali ya JK ikimaliza waende wakazindike makwao nawambieni ni ngumu hii ng'we hata JK mwenyewe alikili alipo enda Arusha kisiri siri na habari ilitoka Internal JK alikili kuwa 2nd Term yake ya uongozi ni nzito kabisa na source kuu ni Ndani ya CCM

Kila nikimsikia huyo spika wa makamba na nikikumbuka maneno ya katibu wake,huwa natamani hata kubadili jinsia .ni sawa na kumpeleka bongolala china akawakilishe nchi kwenye uhandisi.unadhan wahandisi watakubali?yaan huyu spika ananichefua zaid ya kaka yake lukuvi.hili bunge lazima litamshinda,hafananii na haliwezi.labda amuongoze pro maji marefu na mama rwakatale,ila kwa Tundu Lisu,Mnyika na Regia kamwe hataweza mpaka arudi darasani kuanza upya sekondari

Duhh Wewe mama mkali.
 
Back
Top Bottom