Mkusa
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 549
- 209
unataka mumE?bunge linaongozwa na sheri na kanuni za bunge. Hawa wabunge wapya inapaswa walijuwe hilo na wasikurupuke kama wanavyokurupuka wachangiaji wa jf.
unataka mumE?bunge linaongozwa na sheri na kanuni za bunge. Hawa wabunge wapya inapaswa walijuwe hilo na wasikurupuke kama wanavyokurupuka wachangiaji wa jf.
Kuna tetesi kuwa hoja binafsi ya Katiba iliyowasilishwa na Mh. Mnyika na ile ya Dowans ya Mh. Kafulila hazitajadiliwa katika kikao kijacho cha bunge kwa kisingizio cha kutoundwa kamati ya uongozi ya bunge yenye jukumu la kupitia hoja za serkali na wabunge binafsi na kuzitolea uamuzi..
Dalili hizo zimejitokeza baada pia ya spika mwanamama Makinda kusema ofisi yske haijapokea hoja binafsi ila imepokea taarifa tu za makusudio ya kuripoti hoja.
Binafsi nanusa harufu ya kutimia malengo ya waliomuweka hapo na ucheleweshaji wa makusudi ili maamuzi ya kibabe yapitishwe kwanza
Source: Nipashe Jumanne 18 January 2011
Bunge linaongozwa na sheri na kanuni za Bunge. Hawa wabunge wapya inapaswa walijuwe hilo na wasikurupuke kama wanavyokurupuka wachangiaji wa JF.
wakuu zile tetesi zimekuwa kweli...hoja hizo mbili zimetupwa kijanja eti suala la Dowans lipo mahakamani na na suala la Katba Raisi keshatoa maelekezo na yeye ni sehemu ya bunge! Je tutafika kweli kwa mtindo huu wa kuzimana Hoja? sasa bungeni wanaenda kujadili nini?
Na hayo 'madalaja' wanayojadiji kujenga ni kwa pesa za nani??We pesa za kuokotesha tu tulizo nazo zinafisadishwa alafu unataka watu wajadili kuweka nyumba paa wakati msingi umeporomoka!Be a thinker...usiwe kilaza kiasi hicho!nchi za wenzentu wanajadili jinsi ya kujenga madalaja sis marumbano
nchi za wenzentu wanajadili jinsi ya kujenga madalaja sis marumbano
KWA AMRI ZAKE................. NA UGUMU WA HOJA ALIZOTUMWA KUZIBANIA................... nina wasiwasi kama atamaliza muda wa miaka 5. Lets wait and see...........