Makerere University on Strike

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Baada ya siku ya jana kampala kutawaliwa na vurugu za maandamano,

Leo hii wanafunzi wa chuo kikuu Makerere Wameanza mgomo kuping ongezeko la ada kwa wanafunzi watakao anza masomo mwakani,

Maandamano hayo yalianza mida ya saa 3 asubuhi na mpaka muda huu ninapoandika magari ya polisi yapo na polisi wanajitahidi kuzimisha mgomo kw kutumia mabomu ya machozi lakini wanafunzi bado wanaendelea .

Sekulu
 
Back
Top Bottom