Makato ya PPF kwa Wafanyakazi.

Tusiishie kuwalaumu wadosi, bali ni mfumo mzima wa maisha. Kuna mapungufu mengi sana katika hii mifuko ya jamii kuanzia kwenye uduni wa mafao mpaka upatikanaji wake mara mtu anapostaafu kazi ama kuacha kazi.

Mfano PPF kuna kipindi walikuwa wakidai kwamba mtu akiacha kazi kabla ya retirement age basi hawezi kupewa mafao yake mpaka afikishe age fulani kwa kuwa wana amini kwamba anaweza kupata ajira sehemu nyingine na hivyo kuendelea kuchangia.

Tatizo investments zao nyingi ni za kifisadi na haziko productive na hivyo wanashindwa kukidhi mahitaji ya madai ya wafanyakazi na wakifanya hivyo wanaweza kujikuta wanachemsha wakati walishazifanyia kazi hizo hela za mfanyakazi.

Tatizo jingine waajiriwa hawana incentive ya kum-report mwajiri kwamba anabana makato yao. Watu wanaangalia leo leo, hawaangalii kesho. Kwa mchumi yeyote atakuambia it is much better mwajiriwa kujitunzia hifadhi yake kwa kuwekeza popote anapoona kwa kuwa returns za makato ya PPF/NSSF ni ndogo sana ukilinganisha na kama mtu angewekeza kwa kufanya vibiashara vyake vingine vidogo vidogo.

Nina uhakika kama kungekuwa na option ya watu kutochangia mfuko wa jamii basi wengi wange opt out kwa sababu mifuko yenyewe imajaa ubabaishaji na pia mafao yao ni duni, lakini ukiangalia ufisadi unaofanyika huko unaweza kubaki mdomo wazi na hizo hela zinazoliwa ni hizo hizo ambazo ni michango ya wanachama wake.
 
WEWE UKO DUNIA GANI? hawa Jamaa wanafanya tu customization and even that is through guidance from the owner of the software. what are they making from scratch? any example .. Nimefanya kazi pale for about two years and was working with a technical support which was the heart for support of all products they sell.
 
Kumbe na wewe ulikuwa pale kwa wadosi, wanapata sana hela wale lakini wanaofanyakazi kwa nguvu zao zote hakuna wanachopata. utakuta ndani ya miaka miwili uliyofanyakazi pale mafao ya PPF unaambulia 480000 tu. sasa hiyo itakusaidia nini?
 
Hiyo kampuni inamilikiwa na Mama Blandina Nyoni ..yule Katibu mkuu wa wizara ya Maliasili na utalii.ana hisa pale.

Connecting to the dot...nani alifunga system ya Epicor pale Fedha?
 
Hiyo kampuni inamilikiwa na Mama Blandina Nyoni ..yule Katibu mkuu wa wizara ya Maliasili na utalii.ana hisa pale.

Connecting to the dot...nani alifunga system ya Epicor pale Fedha?

Hiyo system ya Epicor imefungwa na Soft tech na wala sio Fedha tu ni karibu wizara zote zinatumia system ya Epicor, Local Governemnt pia wanatumia hiyo Epicor. karibu Mikoa na wilaya zote zinatumia hiyo hata Agencies ambazo zipo chini ya serikali pia zinatumia mfumo wa Epicor.
Nyoni hana hisa pale wanye hisa ni wadosi watupu.
 
Kevo,

Kuna kitu haujui kuhusu hili
 
As mush as our minds would like to deal with the problem by looking at the ppl involved, please let us restrain ourselves and take a neutral position so that we can discuss the PPF problem.
Tatizo ni kubwa
1. waajiri hawataki
2. waajiriwa hawaelewi maana yake
3. hawaoni faida yake
4. hawapati faida yake
5. wachache wananufaika.

je ni kweli? tufanyeje?
 
Haika good analysis!
Hii mifuko ya hifadhi ya jamii,binafsi naona ni ya kitapeli wala haitusaidii wananchi wa hali ya chini.
Utakuta Manji na Sumaye ambao wana mshiko mkubwa na maisha yao ni bora ndo wanaruhusiwa kukopa hii mifuko.

Hivi karibuni nimeona NSSF wanasajiri upya watu kwa njia ya mtandao na hapo nyuma walisambaza pia fomu za kujaza kwa ajili ya matibabu,hii yote ni kuona kuwa wananchi wameamuka toka usingizini wanahitaji hela zao na sheria zilizopo ni za mkoloni zinakandamiza wanachama.Pesa yako,masharti mengi ili usiipate kwa wakati muafaka

Kinachoniudhi,wewe hela yako wamechukua wamekutunzia ukihitaji wakati wowote unaambiwa subiri baada ya miezi 6.Maisha yenyewe yamekuwa mafupi,Ukiitaka chap chap,unatafuta tu barua ya chuo kwamba unaenda kusoma au unatafuta mtu unamsomesha somo la kumkatia kidogo basi.Yaani inaniuma sana.
Hii sheria kujiunga ibadilishwe ili iwe hiari ya mwanachama siyo lazima tu eti ukiajiriwa mwajiri aanze kukata.

Hawa nao ni sawa ni Bima ya afya,wanakata hela kusaidia afya za wafanyakazi,lakini wanakuchagulia magonjwa ya kuugua ambayo mfuko watalipia,ante natal na post natal ambazo ndo maisha ya akina mama wanasema hayo hatuhusiki nayo.BS!!!!!!!!!!!!!
Hizi hela zisiwe tu za kuwasaidia watu wanapokosa au kufukuzwa kazi,kama amechangia miaka kuanzia 5 inabidi wabuni sera za kuinua maisha ya huyu mwanachama
 
Hiyo system ya Epicor imefungwa na Soft tech na wala sio Fedha tu ni karibu wizara zote zinatumia system ya Epicor, Local Governemnt pia wanatumia hiyo Epicor. karibu Mikoa na wilaya zote zinatumia hiyo hata Agencies ambazo zipo chini ya serikali pia zinatumia mfumo wa Epicor.
Nyoni hana hisa pale wanye hisa ni wadosi watupu.

ndugu wapendwa.

jambo hili ukiliangalia kwa urefu waweza sema kwamba kweri kampuni inamilikiwa na Mama nyoni, kwani ndio aliyoipeleka hiyo system ya epicor account general mpaka ikulu, kama mtakumbuka vizuri epicor iliiingia TRA wakati mama Nyoni yupo kule. na akadai eti imefaya vizuri mara baada ya kupata commision yake na kupewa shara. alipokwenda Hazina akaipeleka kule pia na mpaka sasa all sub-treasuries zinatumia hiyo package pamoja na all local governments.

je mnakumbuka LGRP (local government reform programmes) ambapo fedha nyingi zilitolewa na donors eti na wao pia wakanunua that intergrated package Epicor, Tanroad, Government agencies and now they are excelling out of the country.

Mara nying wanapokuwa wanapresent fruits za product zao huwa wanatumia government kama reference and a key person is Mama Nyoni.

Bila ubishi hii ndio imewanyenyua na kuwapa jeuri wale wadosi, wanachukua fedha nying sana kutoka huko.

Niwambia hata license za hiyo product wana pirate, they buy one and sell ten . I have proof.
 
Lakini siku hizi toka Mama nyoni aondoke Hazina training zile za uongo na kweli zimeisha kwani Accountant General wa sasa hataki kabisa ushezi wa hao wadosi.

lakini kwa sasa wanawaibia Malawi, Lethoto, Zanzibar na Banjul na Uganda.
 
Haika good analysis!
Hii mifuko ya hifadhi ya jamii,binafsi naona ni ya kitapeli wala haitusaidii wananchi wa hali ya chini.
Utakuta Manji na Sumaye ambao wana mshiko mkubwa na maisha yao ni bora ndo wanaruhusiwa kukopa hii mifuko.

Hivi karibuni nimeona NSSF wanasajiri upya watu kwa njia ya mtandao na hapo nyuma walisambaza pia fomu za kujaza kwa ajili ya matibabu,hii yote ni kuona kuwa wananchi wameamuka toka usingizini wanahitaji hela zao na sheria zilizopo ni za mkoloni zinakandamiza wanachama.Pesa yako,masharti mengi ili usiipate kwa wakati muafaka

Kinachoniudhi,wewe hela yako wamechukua wamekutunzia ukihitaji wakati wowote unaambiwa subiri baada ya miezi 6.Maisha yenyewe yamekuwa mafupi,Ukiitaka chap chap,unatafuta tu barua ya chuo kwamba unaenda kusoma au unatafuta mtu unamsomesha somo la kumkatia kidogo basi.Yaani inaniuma sana.
Hii sheria kujiunga ibadilishwe ili iwe hiari ya mwanachama siyo lazima tu eti ukiajiriwa mwajiri aanze kukata.

Hawa nao ni sawa ni Bima ya afya,wanakata hela kusaidia afya za wafanyakazi,lakini wanakuchagulia magonjwa ya kuugua ambayo mfuko watalipia,ante natal na post natal ambazo ndo maisha ya akina mama wanasema hayo hatuhusiki nayo.BS!!!!!!!!!!!!!
Hizi hela zisiwe tu za kuwasaidia watu wanapokosa au kufukuzwa kazi,kama amechangia miaka kuanzia 5 inabidi wabuni sera za kuinua maisha ya huyu mwanachama

Ukianza kufuatilia hizo hela huko NSSF ni balaa tupu hata ukisubiri baada ya miezi sita, ukienda kurudisha form unaambiwa uende ukachukue hela zako badda ya mwezi momoja, na ukienda utakuta wanakwambia file lako bado halijatoka, ila ukiwapa kitu kidogo ahaa mara moja unapata cheque yako.
 
Nimeshawatumia E-mail wanijibu kufikia kesho na nishatuma Nzi mmoja kwenda PPF kuangalia kwa undani..i will keep you posted

Muheshimiwa vipi huyo Nzi uliemtuma PPF hado hajakupa jibu? na hiyo email uliyowatumia bado hawajakujibu?
 
Source: JIACHIE

Mjumbe hauwawi !

Dear Satcom, Five months ago, I had a problem with the Company (SATCOM) as you could not be able to pay me when I was on my leave, and as a result I could not be able to attend/resume my job due to financial crisis I had. In spite of tried several times to talk to you as to reach a conclusion and resolve the situation, but still as company you failed to explain to me why you could not pay me while I was on my leave.

Further, Satcom ceased my employment without any notice or anything else in spite of having a CONTRACT AGREEMENT OF PERMANET EMPLOYEE and which has not breached yet following formal procedures/official manners. It had cost me a lot, when you asked me not to resume my work, just for you being specious with me, if I could come back from my leave or not. I lived a very had life in followed three months later, as you over suddenly ceased my employment and left me hanging in streets in spite of working with you so honestly and faithfully.

I thank GOD that he was with me on my all troubles. Now I have gained power and I am having enough energy to fight for my rights and other employees' rights. For the matter of fact, I need to take the company to court, for the following reasons; 1. Its normal and very life style for SATCOM to ceased employees employment without notice and in most cases without paying them anything. A thing which happened for me and so many others such as; Malinda Ramadhani, Erasto Rapahel, Alice, Binna katikiro, , etc.

2. SATCOM has been stealing from me for all 2 years which I have been working with them. - When I joined we agreed salary to be 250,000 Tshs, where by I was deducted 20,000 Tshs as PPF contributions, and as expected SATCOM was also supposed to contribute the same amount on my PPF account, therefore, I was supposed to be contributed the total of 40,000 Tshs each month on my PPF account.

This has been done, even after I had an increments on my salary twice times. - First was from 250,000 Tshs to 350,000Tshs, whereby I was supposed to be deducted 35,000Tshs as PPF contributions and and Satcom, was supposed to contribute the same amount. Instead I was only deducted 20,000Ths , which was a gain contribution for both parties. -Secondly was from 350,000Tshs to 550,000Tshs whereby I was supposed to be deducted 55,000Tshs as PPF contributions and Satcom, was supposed to contribute the same amount.

Instead I was only deducted 30,000Ths , which was again contribution for both parties (max & Satcom). -VASUDHA( UNQUALIFIED HR) I left you with three copies of my salary sleeps so you can check and share those sleeps with your fellow as to witness on what I am talking here. PPF/NSSF contribution is only 10% of employee's Salary whereby employer is suppossed to contribute the same amount to employees. -SATCOM was displaying my basic salary as 100,000 Tshs which was not correct, and 10,000 Tshs as my PPF contributions,

this means; the 20,000Tshs, which I was been deducted from my salary initially (250,000) was the same amount which was going to PPF as my monthly contributions for us both (Maxmillian and Satcom). By doing this, the company has been stealing from me for not contributing the extra 20,000Tshs from the company to my PPF account for all those years I have worked with the company. This also implies that, this bad behavior of the company is also affecting the rest of employees, but they can not talk as they afraid, if they do so they will lose their jobs. - Further, this is not only stealing from poor employees, but also is the theft for NSSF/PPF as organizations, thus they will also need to play a part on this case.

As its not enough, this ends up on contributing less on TAX which is supposed to be collect for boosting up country's economy. - Also you have a lot of experts, which are not qualified as well as not supposed to have what they are paid compared to local experts who are real professionals and real workers. - You as a company, you do not have equality (equal right and treatment s) to all your employees, INDIANS as highly paid compared to LOCAL ones, but when it comes to work, local employees are the ones who generates almost 85% of the company's income, which you usually use to favor your fellow Indians in spite of their qualification less.

Now, I am asking the company to provide me with an explanation on the following areas within five (5) working days as starting from 6th October 2008. 1. Company should state clearly why it has ceased my employment without any notice. 2. Why the company ceased my employment without any prior notice or any settlements to be done with me. 3. Why company has been stealing from me by not contributing the right amount to my PPF account? 4. Why is the company keep on stealing from other employees up to moment as how it did to me with my PPF? 5.

Why is company avoiding contributing to our COUNTRY ECONOMIC GROWTH, by contributing TAX which is supposed to and not as exactly what is right now? 6. Why the company's Salary sleeps does not clearly state the actual employee earnings and deductions? {GOVT. has reduced the taxes, thus we expect employees gross and net salaries to rise compared to before being reduced.

I do not think this is the same with SATCOM Fail to answer my question with enough and satisfactory explanations, this will give me go ahead, on whatever plans I have in mind, which including; - Open a case on court - Talk to the Medias as to make sure everyone knows what is going on with these kinds of today's companies. - Make sure this bad behavior of mistreatment and injustice done by employers is stopped, I will make sure the issue is discussed in the Parliament and SATCOM to be mentioned as an example. - Make sure I stop all illegal issues which goes on with SATCOM, this includes; Migrations & working permits, number of expertise's required by the company, employment rules, regulations and policies should be followed. - Definitely, NSSF/PPF and the GOVERNMENT in general, will come into picture, as everyone will know that SATCOM are TAX EVEDERS.

NB:kama wasemavyo wahenga mjumbe hauwawi,hivyo na Mimi ni mjumbe tu,!ujumbe huu umetoka kwa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mdau Mikonosi
 
Back
Top Bottom