Makatibu wakuu watakaofuata mawaziri kutemwa/kuhama

Makame

JF-Expert Member
Jan 3, 2008
512
60
ORODHA HII HAPA CHINI

1. RAMADHANI KIJA - ATAHAMA;
2. S. LIKWELILE - ATAHAMA NA KUPATA U KM;
3. MAPUNJO (ATAHAMA) - KURA YA VITI MAALUM ITAMTETEA; (ila kabla hajahama, ATAPATA BARUA YA KUJIUZULU YA EKELEGE)
4. MWINJAKA - ATAPATA UKATIBU MKUU
5. DR. TAX - ATAHAMA;
6. BWANA ULEDI - ATAPATA U KM;
7. TARISHI M, KAMA MAPUNJO,
8. CHAMBO -NJE;
9. MRANGO - NJE;
10. HAULE, ATAHAMA.
11. SALULA - ATABAKI;
12. ENG NDUNGURU - ATAKAIMU;
13. MAMA HAWA - ATAPATA U KM PALE ALIPO;
14. TURUKA - ATAHAMA;
15. MASIMA - ATAHAMA;
16. WAKILI - ATAHAMA;
17. MBONDE - ATAHAMA;
18. LYMO - ATABAKI ALIPO,
19. YAMBESI - ATAHAMA;
20. SHITINDI - ATAHAMIA ANAPOTOKA YAMBESI;
21. MUYA - ATAHAMA;
22. MILAWI - ATAHAMA.
23. MASWI - ATATAKIWA KUPATA MSIMAMO WA TANESCO NA AWAPE TIMEFRAME; WASIPOTEKELEZA BOARD NA CEO OUT.

ORODHA ITAENDELEA KESHO SAA 6 MCHANA; NITAWAPENI DETAILS FULL.

BADO KUNA MABADILIKO YANAENDELEA KUSHUGHULIKIWA.

SOURCE ----------------------------------------------------------MAGOGONI
 
Asante mkuu kwa taarifa na ndio maana najivunia kua mwana Jf kwani kawaida hainikwazi hata kidogo,barikiwa mkuu mleta habari
 
Vipi kuhusu ma-CEO?

CEO ataanza EKELEGE; yaana wiki hii haimalizi kabla Ekelege hajang'oka; tena kwa barua atakayoisaini yeye mwenyewe kwenda kwa Joyce. Afanye hivyo iwe salama kwakwe, la si hivyo; atatimuliwa.

Atakumbuka sana ekelege alivyokuwa akiita waandishi wa habari na kuwapa elfu 20 kila moja wakaandike utumbo wake eti wabunge (AKINA FILIKUNJOMBE) sio wakweli.

wala simuonei huruma
 
Aisee! waandishi wa habari wachache wanachangia kuhifadhi mafisadi? hii ni hatari sana
 
ORODHA HII HAPA CHINI

1. RAMADHANI KIJA - ATAHAMA;
2. S. LIKWELILE - ATAHAMA NA KUPATA U KM;
3. MAPUNJO (ATAHAMA) - KURA YA VITI MAALUM ITAMTETEA; (ila kabla hajahama, ATAPATA BARUA YA KUJIUZULU YA EKELEGE)
4. MWINJAKA - ATAPATA UKATIBU MKUU
5. DR. TAX - ATAHAMA;
6. BWANA ULEDI - ATAPATA U KM;
7. TARISHI M, KAMA MAPUNJO,
8. CHAMBO -NJE;
9. MRANGO - NJE;
10. HAULE, ATAHAMA.
11. SALULA - ATABAKI;
12. ENG NDUNGURU - ATAKAIMU;
13. MAMA HAWA - ATAPATA U KM PALE ALIPO;
14. TURUKA - ATAHAMA;
15. MASIMA - ATAHAMA;
16. WAKILI - ATAHAMA;
17. MBONDE - ATAHAMA;
18. LYMO - ATABAKI ALIPO,
19. YAMBESI - ATAHAMA;
20. SHITINDI - ATAHAMIA ANAPOTOKA YAMBESI;
21. MUYA - ATAHAMA;
22. MILAWI - ATAHAMA.
23. MASWI - ATATAKIWA KUPATA MSIMAMO WA TANESCO NA AWAPE TIMEFRAME; WASIPOTEKELEZA BOARD NA CEO OUT.

ORODHA ITAENDELEA KESHO SAA 6 MCHANA; NITAWAPENI DETAILS FULL.

BADO KUNA MABADILIKO YANAENDELEA KUSHUGHULIKIWA.

SOURCE ----------------------------------------------------------MAGOGONI

Sijajua yupi atahamia wapi, lakini the way inavyoonyesha itakuwa vema sana! Kiukweli makatibu wakuu wanahitaji kuhamishwa kwani wamekuwa wenye nyumba zaidi badala ya kuwa watendaji. Good move
 
Ahh, Makame, sasa wapi tunasherekea ule 'ushindi' wetu, wikend inaishia hii.
 
na mashirika ya umma yote ambayo yamevurunda kuanzia mwenyekiti wa bodi na bodi nzima, MD/CEOs hakuna kubakishwa....wachapakazi wako wengi sana ambao wana deserve hizo opportunities
 
Hii habari ya KUHAMA imeletwa hapa kupima upepo. Nadhani JK hana ubavu wa kuwawajibisha makatibu wakuu ambao wamefuja pesa za umma kama ilivyobaini ripoti ya CAG. Anakusudia kuwahamisha
 
Mimi sijaelewa!! Atahama, nje, kuwajibishwa, kutemwa!! Hebu mkuu nifafanulie hapa, kwangu bado totoro!
 
Tuwekeeni list ya waandishi wa kuwawajibisha, tukianza na Manyerere J.

Mjinga kabisa, uliambiwa tangu lini Manyerere ni mlinda mafisadi? Fuatilia makala zake, na habari zinazohusu Maliasili na Utalii ndo utamjua alivyo mzalendo. acheni chuki za kipuuzi.
 
Huyu Joyce Mapunjo amepiga sana pale TBS akishirikiana na Ekelege wake. Anahamishwa badala ya kufukuzwa na kupelekwa mahakamani. Du! Hata kama ni jamvi la mwenye nyumba mkuu wa kaya.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom