Makatibu wakuu wa vyama vya siasa Tz

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
Wanajamvi hebu leo hapa tuwape sifa stahiki makatibu wakuu wa vyama vya siasa hapa tz.Tuwape sifa kwa kujenga ama kubomoa vyama vyao. ushauri unaruhusiwa
 
Rire rikatibu rinaroshabikia mitusi ya lusinde silipendi na ule mustachi wake kama wa karl peters!
 
Rire rikatibu rinaroshabikia mitusi ya lusinde silipendi na ule mustachi wake kama wa karl peters!

Katibu wa ccm[ana Act tu,hajui propaganda],katibu wa cuf[mroho na anapenda utukufu],nccr[makini asilimia 45],tadea[wasanii],tpp[majungu],tlp[vikaragosi],udp[mapesa],CHADEMA[WAKAWAKA 85].
 
Back
Top Bottom