Makatibu wakuu lini watatimuliwa

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,867
2,746
Watanzania wenzangu, kuondoka kwa mawaziri hakuta imarisha wizara na taasisi zake kama makatibu wakuu wataendelea kuwapo. Sawa tunajua baadhi ni marafiki sana na raisi lakini kuaribiana kazi urafiki ukae pembeni. Mheshimiwa raisi tunaomba umuondoe omari chambo katibu mkuu wa uchukuzi kwasababu yeye ndio chanzo cha matatizo yote ya wizara.
 
unamuomba raisi au ni yeye mwenyewe siku ya kutaja baraza la mawaziri aliahidi watendaji wote waliohusika na kuboronga kwa wizara husika atawachukulia hatua!
 
Weee, usimkumbushe maana rungu litashuka hadi kwa Wakurugenzi na Watendaji wengine.
 
hata mie nasubiri, sijui itakuwa lini, nadhani anaongea na kupanga na mawaziri wapya. Mawaziri, makatibu, wakurugenzi wote wanaohusishwa pls waondoke.
pia ripoti ya CAG ya ujenzi wa majengo pacha, Richmond, bandari, migodi etc, rais aufanyie kazi.
 
Back
Top Bottom