Makarani wa sensa wilaya ya uyui,mkoani tabora watelekezwa na serikali bila malipo

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Leo ni siku ya pili makarani wa sensa wilaya ya uyui katika mkoa wa tabora wanakaa toka asubuh mpaka saa 12 jion na kurud kwenye magest waliyofikia bila kuwa na chochote.Bila kujali uwepo wa sikuku ya Eid mpaka sasa sa kumi na moja na Nusu tunamsubilia mgeni aje AFUNGE MAFUNZO Hali ya kuwa Hatuna Pesa...KUMBUKA Semina imefanyika mjini Sehemu ambayo ni mbali na makazi ya wanasemina...CHANZO MIMI MWENYEWE MWALIMU WA SHULE YA MSINGI
 
Hawa jamaa walikurupuka matatizo hayo yapo karibu kila mahali palipo fanyika hizo semina za sensa kwa nchi nzima na sidhani kama kutakuwa na ufanisi katika zoezi zima.
 
Back
Top Bottom