Zoezi la kuwapata makarani wa sensa jiji la mwanza limegubikwa na harufu za RUSHWA,Yaani fikiria mtu aliyesoma STATISTICS NA MATHEMATICAL DEMOGRAPHY AMEACHWA,SASA NIMEAMINI NCHI HII NOMA KWA UPENDELEO.SERIKALI IJAYO iwamulike hawa wote.Tatizo letu letu ni kuchanganya mambo,shemeji siwezi kumuacha hata kama hana sifa.TAKUKURU WAPO KWELI?AU IVUNJWE?