Makarani 800 wagomea sensa

i really feel pity to my nation "Tanzania" ,kila mpango wa serikali unaishia kwenye mgomo.yaani imefika sehemu kuwa viongozi hawaaminiki tena,why?sasa kama ni kweli viongozi wetu mlitoa ahadi kulipa kiasi X kwa makarani iweje tena mlete kiasi Y?:A S cry:
 
Matumbo acha utumbo wako dadavua vizuri hiyo sheria sasa mbona wanasema mtu ashawishiwe kuhesbiwa kama hataki aachwe wakati kuna sheria inayomlazimisha kuhesabiwa?

hv hakna hata mmoja wa kuwasaidia, KITU RAHISI SANA HIKI. Mngehesabiwa zoezi la taifa,wangetaja idadi ya watz,baada ya hapo mnafanya yenu(islam) mkipata idadi yenu,mnatoa kwenye idadi ya taifa mtajua mpo wangapi na mpo aslimia ngapi? Hzo znazobak mnawaachia mchanganyiko wao! AU MNATAKA MTUMIE HELA ZETU KUJUA IDADI YENU? Au shida MJUE WAKIRISTO wangapi?
 
hii sensa naona haitatoa kile serikali ilitegemea bali itakuja na data za chini zaidi ya sensa iliyopita nje ya hapo labda wazichakachue
 
Nakuunga mkono,
miaka yote sensa ilifanywa na waalimu
mwaka huu wamewapa wasomi hadi mabeki tatu
hapa wamekosea sana. Waalimu wana maadili yanayowafunga kutokana na kazi yao,
wasomi wanataka pesa, je hapo kuna kitu kweli.

Makarani wenyewe walikuwa wakinyanyasika sana, sidhani kama wataifanya hii kazi kwa moyo...
 
Back
Top Bottom