Makao makuu ya nchi "Dodoma" kuna mgawo wa umeme?

Magarinza

Senior Member
May 9, 2008
122
13
Takribani juma la tatu sasa kumekuwa na kukatika katika kwa umeme maeneo mbalimbali hapa Dodoma pasipo taarifa yoyote rasmi kutoka TANESCO. Suala hili linaleta usumbufu mkubwa sana katika shughuri zetu za kiofisi na nyumbani na hivyo natumia kanafasi haka kuelezea masikitiko yangu kwa TANESCO, kwani mnatunyanyasa!!!
 
Back
Top Bottom