Makao makuu ya CHADEMA yapo wapi?

Miaka mitano hii wana RUZUKU ya kufa mtu kwa sababu ya KURA za URAIS na idadi ya WABUNGE. Watajenga tu wasipojidai kulipana MADENI ya helikopta. Itabidi na Dr Slaa wamwangalie vizuri kwani amechangia pakubwa kwenye ruzuku hii na hana kazi.
 
mtaa wa Ufipa, Kinondoni, nyuma ya American Chips, interior fulani mtaa wenyewe ni earth road, full of potholes, dust and mud.

ni kijumba cha NHC za zamani za uswazi sema kimefanyiwa modification kidogo, wageni wanaingilia reception pembeni ya nyumba kwenye ki dark alley fulani kama unaenda men's room vile ila wame pa soup up kidogo, huyo receptionist ni half-innumerate mmoja kashikilia ma kaunta book ya kuandikisha wanachama/wageni, hana cha computer wala cha simu, ukisema "naomba kuwa member" anakurudisha ukalete picha mbili, you know, Benki ya Maendeleo Vijijini style, hawana hata ka digital camera ka dola 50 ka kukupiga picha hapo hapo wakuwahi, halafu nje kuna vigilantes fulani wamekaa across the street na makapelo ya CHADEMA wana monitor moves around the way looking like them hood crews Nyerere used to arrest for Uzembe na Uzururaji...

i was like this some broke arse party here, but wait a minute, they rent helicopters in they campaign trails, and they just got a $ 200,000 handout from that Indian tycoon from CCM, come outta that cave hideouts for your headquarters you clowning politricksians

gotta love CHADEMA tho
hahahaha hahaha nimecheka sana. badala ya kutoa ramani naona unaelekeza wajihi wa destination. anyway mie sishangai mnavyopakandia hapo. napafahamu na siyo kama unavyosema. unategemea chama ambacho hakina sera za ufisadi kijenge jengo la kifahari kuwa makao yake makuu??? Hizo fedha za wananchama zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo kwa manufaa ya watanzania. mf. maji, miundo mbinu n.k.

Tatizo si office kuwa nyumba ya NHC, bali mazingira mazima ya ilipo office ya CHADEMA na hali halisi kama alivyodecribe ndugu Taso. Okay, labda kumuamini Taso ni kupenda mambo mepesi, sitakiwi kuamini amini. Nitazitembelea office hizo kesho.
naelewa kwa nini unashabikia post ya TASO. ungelikuwa na akili ungeenda kwanza kuthibitisha na siyo kuonesha UZANDIKI wako hapa.

Mkuu si kosa kuuliza yaliko Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi dhidi ya dhuluma na ufisadi - CHADEMA. Kipo Kinondoni ila mtaa siufahamu jina. Unaweza fika kuulizia kwa mtu yeyote eneo la jengo la Hugo au maduka/ mikahawa ya jirani watakuelekeza tu. Hata mimi nilifikakwakuelekezwa hivyo.
Mkuu umenena vyema. ofisi hazina hali mbaya kama asemavyo TASO.
 
Haina tija hoja hii tusilazimishe nelson mandela aliendeleza juhudi za ukombozi akiwa gerezani,
 
Don't go for easy answers/way; look for it and you shall find; the time for spoon feeding is over
"A kind and compassionate act is often its own reward"
"Flatter me, and I may not believe you. Criticize me, and I may not like you. Ignore me, and I may not forgive you. Encourage me, and I may not forget you."
It could only have taken two words Kinondoni Dar than all those words, please wanajamvi tupende kusaidiana
 
Duh, eneo gani??
Kwa mfano CCM yapo Dodoma Kuu Street, CUF yapo DSM Buguruni, ya NCCR yapo DSM Ilala ya CHADEMA yapo wapi??

CCM unajua, CUF unajua, NCCR Unajua, CHADEMA??? NCCR na CUF vimewai kuwa vyama vikuu vya upinzani 1995 na 2000, sasa unataka kujua CHADEMA sababu ni chama kikuu cha upinzani sasa. Una agenda gani Mkuu?
 
Ndio maana kuna Internet na Mawasiliano mengine, Mimi ni Mtanzania but nipo nje ya nchi. By the way Makao Makuu sio idara ya siri kwamba eti mtu hatakiwi kujua, kama yupo mdau anayefahamu anielekeze tafadhari, mimi kama Mtanzania I deserve to know the H.Q of the Leading Opposition Party.

Mdogo wangu, nje ya nchi unafanywa nini? Uko nchi gani? Rudi nyumbani tujenge nchi yetu. Ukirudi nione nikupe kazi maalum.
 
hii ni bongo mwanangu usishangae ndipo tulipofika!
 
Haina tija hoja hii tusilazimishe nelson mandela aliendeleza juhudi za ukombozi akiwa gerezani,

heri watoto wasome chini ya mwembe na walimu wapo wa kutosha Kuliko majengo na wanafunzi bila walimu hii ni bongo mwanangu!
 
Ndio maana kuna Internet na Mawasiliano mengine, Mimi ni Mtanzania but nipo nje ya nchi. By the way Makao Makuu sio idara ya siri kwamba eti mtu hatakiwi kujua, kama yupo mdau anayefahamu anielekeze tafadhari, mimi kama Mtanzania I deserve to know the H.Q of the Leading Opposition Party.

hii ni bongo mwanangu usishangae ndipo tulipofika!
 
hahahaha hahaha nimecheka sana. badala ya kutoa ramani naona unaelekeza wajihi wa destination. anyway mie sishangai mnavyopakandia hapo. napafahamu na siyo kama unavyosema. unategemea chama ambacho hakina sera za ufisadi kijenge jengo la kifahari kuwa makao yake makuu??? Hizo fedha za wananchama zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo kwa manufaa ya watanzania. mf. maji, miundo mbinu n.k.

Duh! Mbona hao mafisadi wamechukua pesa za NSSF na kukarabati CLUB BILLICANAS? Embu tuelezeni na nyumba zao hao "wasiokuwa mafisadi" wanaishi kwenye nyumba za aina gani kuanzia mwenye chama a.k.a. baba mkwe pamoja na mwenyekiti wa chama!
 
Mdogo wangu, nje ya nchi unafanywa nini? Uko nchi gani? Rudi nyumbani tujenge nchi yetu. Ukirudi nione nikupe kazi maalum.

Labda UNAFIKI wa wabongo umemshinda. Anapokea rushwa lakini kwenye forum kama hii anajifanya mkali wa kupiga vita rushwa. Kama yule waziri maarufu kwa kukamata samaki alivyoweza kuuza nyumba za serikali kwa ndugu zake na kimada wake lakini anajifanya mkali dhidi ya rushwa. Ama yule anayejiita kamanda wa vita dhidi ya ufisadi wakati yeye mwenyewe alikuwa anakomba posho zaidi ya mara moja. Ama yule mama wa Kichagga anayejifanya anapinga ufisadi bungeni wakati harusi yake iligharamiwa na fisadi maarufu?
 
Back
Top Bottom