Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
Ndio maana kuna Internet na Mawasiliano mengine, Mimi ni Mtanzania but nipo nje ya nchi. By the way Makao Makuu sio idara ya siri kwamba eti mtu hatakiwi kujua, kama yupo mdau anayefahamu anielekeze tafadhari, mimi kama Mtanzania I deserve to know the H.Q of the Leading Opposition Party.
Itakusaidia nini ukiyajuwa wakati wewe uko abroad, njoo nchini ndo uulizie, ukifika tutakuangalia usoni tukiridhika ndo tutakupeleka, tukikutilia shaka tunakupeleka kwa Tossi-maana unaweza kuwa umetumwa na Al-Shabab!