Makao makuu EAC kuanza kujengwa soon

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,879
2,369
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sana, inaelekea sasa ujenzi wa makao makuu ya EAC utaanza wakati wowote kuanzia sasa.

Ile parking ya magari ambayo wafanyakazi walioko kwenye jengo la AICC imezuiliwa kutumika kuanzia Leo ikiwa ni kupisha maandalizi ya ujenzi huo.

Lets hope kwamba safari hii watakuwa serious.
 
Yaani evidence pekee uliyo nayo kwamba makao makuu ya EAC ni kule kuzuiliwa kupark? Kaazi kweli kweli!
 
Contractor ni nani na Consultant wa mradi pia ni nani?


hivi makampuni mangapi ta Tanzania yali bid for this project na mangapi yamefanikiwa hata kwenye sub contracting?
 
Back
Top Bottom