Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC

Zanzibar ni vichaa,watupe Aya au Hadithi inayohalalisha ufiraun huu!
 
Kwa hali hii ya udini inayoendelea zanzibar basi tumeshapata maana halisi ya dini ya kiislamu kiundani.
Tanx sana waislamu kwa kututendea haya mnayotutendea wakristo ila jueni kwamba.
"HAKUNA ALOWAHI KUTENDA UBAYA JUU ISRAEL NA AKAISHI"
nimeipenda hii!!
 
Mkuu sema utavosema pamba utavopamba lakini khabari ndo ileile HATUUTAKI MUUNGANO.

Uhusiano wa kanisa na muungano upo mkubwa sana, kama si huu muungano Zanzibar tusingalikuwa na utitiri wa makanisa na mabaa na madanguro mpaka vichochoroni, lakini Mkapa (LTLLH) kafanya juhudi kubwa kuhakikisha Zenji hasa mwaka 1995-2004 wameletwa Watanganyika wakristo ili kujaza makanisa hayo na kujenga mengine zaidi.

Na mmeona nyinyi wenyewe khabari kuu zenu ni makanisa yamechomwa moto tuu, hamjaona la kuandika zaidi ya hilo kwa mfano hao askari wanavopiga mabomu mpaka watoto wa shule hii sio khabari au haina uzito, wacheni Chuki zenu Watanganyika na kujifanya hamjui tulitakalo Wazanzibari/

Pia siku hizi kuna mpango maalum wa kuwaleta Watanganyika wakristo siku za weekend ili kujaza makanisa ya Z'bar ili waonekane wengi, Source ni mchungaji Henry wa kanisa la Mkunazini

Hizo propaganda zenu za makanisa na ukristo wenu sisi hauna faida kwetu hapa Zanzibar, tutaendelea na harakati kama kawa za uhuru wa Zenji mpaka kieleweke.

Mkituita alqaida, au mashetani, au mazuzu, au wajinga au vyovyote vile sisi hatujali almuhimu Zanzibar kwanza kelele zenu baadae.

Na atakaeshi Z'bar aishi kwa heshima zote za Z'bar, lakini yote hayo ya kanisa na ukristo yatakuja baada ya uhuru wetu na tutaamua makanisa mangapi yawepo Zenji sio kila kona mutuwekee fujo zenu za miziki.

Kwa taarifa yako hata sisi hatutaki huu muungano na mijitu mishenzi isiyo thamini uhuru wa mtu kuabudu! Hata huko uarabuni kama Misri kuna makanisa na wakristo wanaabudu kwa uhuru. Viongozi wakuu wote ni RAIS NA MAKAMU wote ni waislam, sasa pambaneni na serikali hii ya Kiislamu na sio kanisa, au ajenda yenu sio Muungano ni chuki dhidi ya Kanisa?
 
Wadau habarini,

Kuna taarifa ya kwamba kuna Kanisa limechomwa moto huko Zanzibar, leo hii muda si mrefu.
Nitawajuza kwa kina nikiwa fed kutooka visiwani, ila kwa sasa kama kuna anayejua atueleze hapa.

UPDATE;

Naarifiwa kwamba n plot ya kuhambulia kanisa katoliki la mjini. Lakini Polisi na wamehapata taarifa na wako makini. It was meant to be thi afternoon, let us hope the plot fails.
 
ccm na serikali yake imeshindwa kabisa kuisimamia amani watanzania tuliyokua nayo!imeshakua kama nigeria
 
ukishangaa ya musa utaona ya filaun! hivi kweli niambieni nini uhusiano wa muungano na kuchomwa kwa makanisa znz?
naachoweza kusema wakristo tuombee amani znz coz vita yetu si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na usultani wa pepo wabaya wanaofanya uhaini znz.
 
Wadau habarini,

Kuna taarifa ya kwamba kuna Kanisa limechomwa moto huko Zanzibar, leo hii muda si mrefu.
Nitawajuza kwa kina nikiwa fed kutooka visiwani, ila kwa sasa kama kuna anayejua atueleze hapa.

Ni ajabu kuwa imeshajulikana target ya hao wahuni ni makanisa,kama ni kweli limechomwa tena tuna tatizo kubwa zaidi maana kwa idadi ya makanisa yaliyopo Zanzibar haiingii akilini kushindwa kuyalinda,otherwise polisi waliomo nao wameamua kuweka 'maslahi ya kidini' mbele wakawafumbia macho wafanye watakavyo!!Shame on u Chagonja na matamko tatanishi unaposikia maandamano ya vyama vya upinzani!
 
Inawezekanaje kutopatikana kwa taarifa za kiintelijensia Zanzibar? Au mfumo wa vyombo vyetu vya usalama ni tofauti kabisa baina ya Bara na Visiwani. Maana kwa hali ilivyo sasa Zanzibar, taarifa za kiintelijensia zingekuwa na mshiko zaidi kuliko katika kuzuia mikutano Bara.
 
Sasa wewe ndio unasema kuna kanisa lingine limechomwa mota halafu unaomba tena habari kwetu, kwa nini usisubiri kwanza ukamalishe uchunguzi wako ndio uanzishe thread.
 
Mbona ccm na serikali yake wapo kimya kwa ishu kubwa namna hii?
Kauli ya mfuasi wa CDM inawatia kiwewe, sasa kule wanafanya kwa vitendo wapo kimya hii inakuwaje!
 
Sasa wewe ndio unasema kuna kanisa lingine limechomwa mota halafu unaomba tena habari kwetu, kwa nini usisubiri kwanza ukamalishe uchunguzi wako ndio uanzishe thread.

Amejaribu kukwepa jam!
 
Sasa wewe ndio unasema kuna kanisa lingine limechomwa mota halafu unaomba tena habari kwetu, kwa nini usisubiri kwanza ukamalishe uchunguzi wako ndio uanzishe thread.

kwani hujaona kwamba ni tetesi, au umekurupuka tu ulikotoka.
 
Dah!!!! Ila hawa wazanzibar kwakweli tufike nao mwisho maana hiki kitabia chao kinaweza kikatugharimu kupita tunavyowakumbatia
 
Back
Top Bottom