Makanisa yetu leo

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
kwa miaka ya hivi karibuni kumeibuka makanisa kibao ambayo theme yao kubwa ni uponyaji wa magonjwa mbalimbali waliyonayo bin adamu. sasa mimi swali langu ni kwamba hivi haya makanisa yamekuwa hospitali za rufaa? baadala ya kuwahubiria watu juu ya Uwepo wa mungu, maswala ya maisha baada ya hapa duniani, kuhubiri upendo na amani, wanatangaza juu ya uponyaji wa magonjwa mbalimbali. sasa naona wameibuka kwa staili nyingine ya kikombe. Isije kuwa mpinga kristo a.k.a masihi dajaar kaishatia timu Tz.
 
Njaa, ubinafsi, tamaa, kutafuta umaarufu , ndiyo kiini hasa cha kuibuka kwa utitiri wa madhehebu feki kila kukicha.
 
kwa miaka ya hivi karibuni kumeibuka makanisa kibao ambayo theme yao kubwa ni uponyaji wa magonjwa mbalimbali waliyonayo bin adamu. sasa mimi swali langu ni kwamba hivi haya makanisa yamekuwa hospitali za rufaa? baadala ya kuwahubiria watu juu ya Uwepo wa mungu, maswala ya maisha baada ya hapa duniani, kuhubiri upendo na amani, wanatangaza juu ya uponyaji wa magonjwa mbalimbali. sasa naona wameibuka kwa staili nyingine ya kikombe. Isije kuwa mpinga kristo a.k.a masihi dajaar kaishatia timu Tz.

Nyakati za mwisho watu watakuwa wenyekupenda pesa na kujipenda wao mwenyewe tu.
 
Hayo yote yametabiriwa tangu zamani. Isaiah 4:1 ( 1And in that day seven women shall take hold of one man, saying, We will eat our own bread, and wear our own apparel: only let us be called by thy name, to take away our reproach. ) Almost 99% ya makanisa (wanawake) wanamtaja Yesu (mme) lakini ukichunguza mafundisho yake (chakula) sio cha Yesu Kristo ila wamejipatia wenyewe. wanatumia jina la Yesu kuondoa tu aibu.
Chakufanya nini sasa? Fuata Biblia.
Remember, kwenye Mambo ya Mungu, 'What is right is not always popular and what is popular is not always right'
 
kwa miaka ya hivi karibuni kumeibuka makanisa kibao ambayo theme yao kubwa ni uponyaji wa magonjwa mbalimbali waliyonayo bin adamu. sasa mimi swali langu ni kwamba hivi haya makanisa yamekuwa hospitali za rufaa? baadala ya kuwahubiria watu juu ya Uwepo wa mungu, maswala ya maisha baada ya hapa duniani, kuhubiri upendo na amani, wanatangaza juu ya uponyaji wa magonjwa mbalimbali. sasa naona wameibuka kwa staili nyingine ya kikombe. Isije kuwa mpinga kristo a.k.a masihi dajaar kaishatia timu Tz.

Njaa mkuu haibagui,nao ni sehemu yao ya kula,lazima kuweka mazingira yanayovutia wengi,hasa mambo yanayohusiana na matatizo ya kila siku ya binadamu.
 
Back
Top Bottom