Makanisa ya kweli yanaweza kujengwa kwa pesa chafu?

Status
Not open for further replies.

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]


Hakuna ubishi kuwa siku hizi makanisa, maduka hata madangulo yanaanza kukosa mpaka ingawa si yote. Hebu fikiria. Kanisa linalojengwa kwa pesa, kwa mfano, ya EPA linakidhi matakwa ya kiroho? Jikumbusheni uhovyo wa serikali iliyotokana na pesa chafu kama hiyo. Usijeshangaa kukuta siku moja makanisa kama haya yakifanya kazi ya kubariki pesa ya ujambazi hata kuwasaidia wakwepa kodi kama siyo kusimamiwa au kutumiwa na wauza mihadarati. Je makanisa ya namna hili yana tofauti na maduka-kanisa ya akina Getrude Rwakatare, Silvester Gamanywa, Zakaria Kakobe, Adam Lusekelo na matapeli wengine wa kidini?
Inashangaza kuona waziri mkuu aliyefurushwa kwa kashfa ya Richmond Edward Lowassa anavyoshabikia na kushabikiwa na makanisa kuyachangia ili kuendeleza shughuli zake ambazo kimsingi hazina tofauti na biashara. Je makani kama haya yana roho mtakatifu au roho mtakakitu?
 
Makanisa yanatumia wanasiasa kujijenga kiuchumi wakati huo huo wanasiasa wanatumia nguvu na ushawishi wa makanisa kujijenga kisiasa.Ni win win situation!
Upande mojawapo ukigoma kutumika kwa malengo na nia ovu ,basi,hapo uhusiano wa makanisa na wanasiasa utakakoma.
 
r


[h=1]Corruption scandal shakes Vatican as internal letters leaked[/h]
Corruption scandal shakes Vatican as internal letters leaked | Reuters
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom