Jinsi ya kupika makande

achana nae huyo...........
Hahaha mimi makande nimekula mara moja yalikuwa na nazi, nyama, vitunguu na chumvi. Zamani sana hata sikumbuki ila ilikuwa Moro kwa rafiki yangu mpare. I think 1983. Natamani nione mtu anayapika.
 
Hahaha mimi makande nimekula mara moja yalikuwa na nazi, nyama, vitunguu na chumvi. Zamani sana hata sikumbuki ila ilikuwa Moro kwa rafiki yangu mpare. I think 1983. Natamani nione mtu anayapika.
Aiseee huo mwaka sidhani hata kama wazazi wangu wanajuana.

Makande ya nyama nilikula sana shule weruweru....yenyewe unaweka mahindi...na nyama na mboga za majani....mchemsho tu unaweka chumvi basi....aiseee ni matamu sana......ingawa tangia nimalize shule sijawahi kuyapika.
 
Duh mlikula makande shule hata nyie? Sisi ilikuwa ugali kwa maharagwe mchana, wali kwa nyama jioni kila siku. Ijumaa jioni samaki. Chai maziwa kila siku saa nne na saa kumi na mkate saa nne. We nataka watawala wajue wamepitia na wenyewe ila wanasahau. Sema wengi wa waliokuwa madarakani wamekuja baada ya huo uhondo.
 
Dah mlifaidi hadi samaki usiku......ila mie nashukuru hatujawahi kula ugali usiku.
 
Unaeza pia ukayachanganya na njugu mawe,ukayaunga na nyanya, carrot na hoho.Karanga au nazi yananoga zaidi.
Napenda sana makande karibu kila jumamosi nayapika mpaka tunagombana na Mr.
 
Hivi kumbe watoto wetu wanaosoma shule za santa huko Arusha Ngalenaro wameshakuwa punga?

Mkuu huoni kama hili swali linahusu watoto wako? Kawaulize wao mimi si baba yao na wala hawanihusu, usinisingizie kuwa hao watoto ni wangu.
 
Kitunguu, carrot, hoho, nyanya kidogo na karanga...
Ukiweka kwenye sahani jiwekee kijiko cha sukari asee ni shida
 
5d99c75bbecc1a96cabfd32262717b523508c954.jpeg
sijawai kila hiki chakula

Mboga ya majani gani? Jamani wengine waja wepesi humu lol tutatoana roho
 
Kwani vyakula vyoye unavyo kula unavipenda, alafu sio lazima mtu ule kila kitu humu duniani ndio maana mwili na nafsi yako haitaki ule makande , hivyo acha usijilazimishe,

Mbona mimi siwezi kula asali na jinsi inavyo sifika kuwa tamu lakini sijalalamika naona mwili wangu ndio umechagua hivyo na nimejikubali maisha yanaenda
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom