Jinsi ya kupika makande

Unaweza weka na Katanga ambazo hujazisaga inakuwa poa pia na ukiunga na Nazi. Pia nilishawahi kula makande nyama nilipokuwa nayo yalikuwa matamu balaa.
 
Ila nimeyamiss sijayala kalibia mwaka we unaepika eb nikalibishe
 
Hapa ndo tutajua Miss nani anajua kupika...Single mothers jitokezeni tuone maujuzi yenu..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom