Makamu wa rais wa Tanzania ni mtaalamu wa nuclear

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Wana JF naomba mwenye CV ya makamu wa rais mr. Bilali aiweke adharani bs kuna kuna habr ambazo kwangu mm bado ni tetesi kuwa mkuu huyu ni Dr. wa mambo ya kemikali na sana kwenye teknolojia ya nucler na alishafanya kazi Urusi kabla ya kurudi kwenye siasa ya bongo.plz wenye data sahihi tujuzeni.
 
..amesomea Marekani.

..alipata kuwa mhadhiri[senior lecturer] ktk kitivo cha Sayansi UDSM.

..mwaka 1990 aliondoka UDSM na kuingia serikalini na kwenye siasa.
 
haswa.bt naambiwa pia amewahi kuwa katibu mkuu wa wizara fulani akiwa na waziri mkapa ambaye alikuja kuwa rais wa awam ya pili.Kwa hakika bilali hafai kuwa mwanasiasa
 
Mkuu mimi sifahamu kama alishafanya kazi Urusi ila Dr. Billal ni mtaalam wa nyuklia hiyo haina ubishi. wapo wachache sana hapa na mwingine anaitwa prof. Kondoro nadhani bado yupo DIT. Kama tungekuwa tunarutubisha urani basi hao wangekuwa ndio vinara wetu.
 
jamani kwani hii ni habari mpya? kwani siku zote ulikuwa wapi? any way...Napita tu
 
haswa.bt naambiwa pia amewahi kuwa katibu mkuu wa wizara fulani akiwa na waziri mkapa ambaye alikuja kuwa rais wa awam ya pili.Kwa hakika bilali hafai kuwa mwanasiasa
Alikuwa katibu mkuu wa wizara ya sayansi na teknolojia chini ya waziri mkapa. Jamaa alikuwa haogopi kunji. Kina mwaka UDSM waligoma wakaenda pale Jamhuri kupata ufafanuzi juu ya mikopo, Dr. Billal bila woga akajitokeza mbele ya kundi na wanafunzi.wenye hasira na.kunena nao
 
Mkuu mimi sifahamu kama alishafanya kazi Urusi ila Dr. Billal ni mtaalam wa nyuklia hiyo haina ubishi. wapo wachache sana hapa na mwingine anaitwa prof. Kondoro nadhani bado yupo DIT. Kama tungekuwa tunarutubisha urani basi hao wangekuwa ndio vinara wetu.

Mwingine anaitwa Dr. Mohamed Tulli alikuwa anafundisha Kuwait. Toto la Kariakoo.
 
haswa.bt naambiwa pia amewahi kuwa katibu mkuu wa wizara fulani akiwa na waziri mkapa ambaye alikuja kuwa rais wa awam ya pili.Kwa hakika bilali hafai kuwa mwanasiasa
Mkuu Mkapa alikuwa Rais wa awamu ya tatu siyo ya pili.
 
Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar.

Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967.

After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant

Mohammed Gharib Bilal was a Research Assistant in 1976 until he succeeds to get a PhD in Physics from the University of Carlifonia.
Later the same year he joined the University of Dar-es-salaam as a lecturer in physics unit.

In 1983 he was elected head of the Department of Nuclear Physics.
In 1983 he participated to establish a national organization of radiation and contribute professional the preparation of draft of legislation which led to the law of use and control of the nuclear radiation in Tanzania.

In 1988 he was appointed head of the Faculty of Science at the University of Dar-es-salaam and continue in office until 1990 when he was appointed Permanent Secretary in the new Ministry of Science Technology and Higher Education in 1990-1995.

As secretary-general he was involved in starting the process of sharing the costs of higher education and the introduction of credit. Also, the ministry introduced the Open University, along with establishing control over higher education institutions (accreditation council).

In 1988 Dr Bilal was a project initiator in Zanzibar's science camp aimed at motivating young people studying science and to help all secondary schools in Zanzibar (Unguja and Pemba) Getting equipment to facilitate testing of students to understand science more practical.

The project eventually was adopted by the Ministry of Education in Zanzibar. The project encouraged many young people to study science and give them the challenge of learning many different topics about Zanzibar environment.

As a teacher of the University Dr Bilal was able to participate in a board far away, such as the Commission of Science and Technology (COSTECH), Commission of radiation (NRC), chairman of the science panel of the Inter University Council of East Africa and also participated pioneering studies on environmental science (1990).

Mohammed Gharib Bilal got an opportunity to attend seminars and short courses in various professions, for example, seminars of [atomic agency] ([IAEA]) in 1980 Kwabena, Ghana. 1984/85. Fellowship University of Singapore. Also attended sessions each year with the organization of Atomic.

Source : Mohamed Gharib Bilal - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mkuu masikia alichukuliwa huko Iran au? Ni ndugu yake Said Tulli?

Sina uhakaika inawezekana, na mwingine mwanamke anaitwa ... Bint Daar, hawa maarufu sana Dar. Kaka'ke alikuwa boxer maarufu Tanzania maarufu "bendaa". 70s.
 
Huyu ndio Doctor, a real doctor I should say, PHD in nuclear physics.

Tunaomba na education background of his Big Boss JK, I hear people calling him Dr. JK.
 
Back
Top Bottom