Hon. Aikambe
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 443
- 70
ila kwa kweli ccm inaonewa sana, yan mpak wamebaki na mbinu ya kuiba kura, kila kona kichapo cha mbwaa mwizi
Magamba wanatapatapa lakini hilo halitawazuia kufutika kwenye uso wa Tanzania--siku zao za kupumua zinahesabika.
Natoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa makamu wa rais wa JMT kwani sijawahi kumsikia akijibishana wala kuinanga cdm popote pale,maana anajua kazi wanayofanya chadema na yeye pia ilibakia kidogo tu achomoke ccm na kuanzisha chama chake kama wangemtosa kumpa cheo hiki na ndiyo maana yupo bara ila zenji wanazijua pilikapilika zake huyu mtaalamu wa nyukilia,he is smart more than we think sema ukiwa ccm sijui akili huna zinakuwaje