makamu wa kwanza wa Rais seif sharif hamad atembelea na kusifu ujenzi wa udom

woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
makamu wa kwanza wa rais seif sharif hamad ametembelea chuo kikuu cha Dodoma kumsifu Rais jakaya kikwete kwa uamuzi wa kujenga chuo kikubwa na cha kisasa chuo hicho ni ukombozi wa Elimu ya tanzania. chanzo tbc taarifa ya habari
 
Ameenda kuongzea chumvi kwenye kidonda, mradi wa ujenzi wa UDOM ni ufisadi mkubwa kuliko ufisadi wowote uliofanywa na serikali ya CCM, mbaya zaiidi ni mazingira ya udini yaliyopo sasa.
 
Hivi Kikwete ndie alitoa hiyo pesa ya ujenzi toka mfukoni mwake??? ama ni pesa ya serikali??
 
Ameenda kuongzea chumvi kwenye kidonda, mradi wa ujenzi wa UDOM ni ufisadi mkubwa kuliko ufisadi wowote uliofanywa na serikali ya CCM, mbaya zaiidi ni mazingira ya udini yaliyopo sasa.

Watu walizoea dini fulani kuwa minority vyuoni, mfumo unafutwa taratiiiiiibu, scientifically. JMK namwamini, kimyaaaa. Unanshangaza!
 
FF, sometimes u need to read btn lines, msifie ukitaka ama ukitaka kujenga apreciate snags zilizopo pia. UDOM kunaudini ulio kithiri hata kudhuru baadhi ya watu.
Watu walizoea dini fulani kuwa minority vyuoni, mfumo unafutwa taratiiiiiibu, scientifically. JMK namwamini, kimyaaaa. Unanshangaza!
<br />
<br />
 
Watu walizoea dini fulani kuwa minority vyuoni, mfumo unafutwa taratiiiiiibu, scientifically. JMK namwamini, kimyaaaa. Unanshangaza!

Tunaomba Mungu JK asimalize kipindi chake cha Urais ili kuinusuru nchi yetu, maana ni mzigo usiobebeka! Sana sana aishie mwaka huu!
 
Baada ya JK kumaliza muda wake magazeti yatafichua uozo na mipango yoote ya deal zake na best zake na hata fukia fukia kila uozo...sijui atajificha wapi na mkono wa sheria pia na media!!maana amechafuka sana!!hata R1 nae sijui atajificha wapi kwa mambo yao wanayofanya kama wameuziwa hii nchi!
 
Alikwenda kuyasifia majengo na si matunda yaliyotokana na majengo hayo. Hivi si nasikia hicho chuo pia ni mali ya watu wa nje. Au ni SU? (shirika la Umma). Chuo kimejaa mikomo kila siku bado unakenda kukisifia, au kitakuwa kama kile cha UDSM ambacho sasa mazao yake ni wala rushwa wakuu? Wasiojua kuwa nchi hii ni ya wote. Upuuuuzzzziii mtupu
 
Back
Top Bottom