Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya..

Status
Not open for further replies.
Kama miaka yote CCM imekuwa madarakani hapo Mbeya imeshinndwa kuboresha huduma za maji sugu anawezaje kufanya hivyo kwa miaka miwili na nusu? au unatuambia sugu alipochaguliwa ubunge hapo Mbeya alikausha na hayo maji?

Serikali imeanza kilishughulikia suala hilo na maji yameanza kutoka vizuri kama awali maji yalikuwa hauyapatikani kwa wingi kama zamani kutokana na kuchakaa kwa miundombinu ya maji na baada ya m,da mfupi ujao hali itakuwa shwari mbeya mjini kote hilo amelihaidi raisi akiwa kwenye ziara yake mkoani mbeya na uboreshaji wa miundombinu ya maji umekuwa ukifanyika kwa vitendo na watu wanaona zile ahadi zilizohaidiwa zikitekelezwa kwa vitendo huyo Siugu unaemtetea wakati wa uchaguzi alihaidi mambo mengi sana ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge mpaka leo hajatekeleza lolote sasa kam,a alikuwa anajua hataweza kutekeleza kwa nini alitudanganya wayu wa mbeya mjini? Ngoja ifike 2015 mtatujua vizuri watu wa mbeya hatiuyumbishwi kwa propaganda tunataka mtu mtendaji huwa hatupendi porojo sasa nyinyi chadema mmezoea porojo wala si watekelezaji wa ahadi mlizohaidi majimboni!
 
Makamu mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa JULIANA SHONZA ameanza kwa kishindo ziara yake Mkoani mbeya moja kwa moja akijikita Vijijini kwa lengo la Kujenga na kuimarisha chama chake.

Ziara yake ilianza jana kwenye kata ya MSIA ambapo katika kata hiyo alifanya mkutano wa hadhara uliokua na mamia ya watu.katika mkutano huo,Juliana Shonza alijikita katika kueleza namna wwananchi wanavyotakiwa kujitokeza kwenye sensa inayoanza agousti 26 mwaka huu,pia alielezea umuhimu wa wanachi kujitokeza katika kutoa maoni ya katiba mpya kwa manufaa ya taifa hili na wananchi wake

Sehemu kubwa pia ya mazungumzo yake kwa wananchi alijikita kwenye umuhimu wa vijana na wanawake kuijiingiza kwenye siasa bila kuogopa mabavu na vitisho toka chama Tawala.Pia alizungumzia namna wanachi wanavyoibiwa zao lao la kahawa na viongozi wa serikali ya ccm pamoja na makampuni binafsi.
Leo Makamu mwenyekiti huyo atakuwa na mkutano wa hadhara katika kata ya ITAKA amabapo anategemea kukutana na wananchi wa kata hiyo.

Katika ziara hiyo makamu mwenyekiti ameshirikiana vyema na viongozi wa jimbo,viongozi wa baraza la vijana mkoa wa mbeya ambao kwa umoja wao wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu katika ziara hii
Ziara hiyo itaendelea kesho kwenye kata ya IYULA na kwa muda wa wiki moja ijayo atajikita kwenye wilaya la MBARALI

Ikumbukwe wazi Makamu mwenyekiti anajitolea kufanya ziara hii,anasisitiza vijana kuendelea kujitolea kwenye ujenzi wa chama.Pia mwenyekiti huyo huyo amepitisha bakuri la kuchangia ziara yake hiyo kwa wadau mbalimbali, wa mkoa wa mbeya na wale wanaokiunga mkono chadema,hatimaye amefanikiwa kuanza ziara hiyo inayoonekana kuwa na mafanikio makubwa kutokana na idadi ya watu wanaohamia chadema na kuomba kadiza chama hicho,Pia wingi wa wafuasi wa chadema kwenye mikutano hii ni wazi kwamba CHADEMA inakubarika mkoani mbeya na vijiji vyake.

Uwongo mtupu sisi watu wa mbeya huwa hatudanganyi
 
Malicious Fabrication.Umbeya wako huu utakupeleka pabaya siku moja.Endeleeni kuchonga kwa kuwa mnatumia ID fake lakini hamuwezi kuni-face.mmenitafuta wee bado mnaendelea.Endeleeni na uzuzu wenu kisiasa

Unajua kusema bila utafiti ni kuonyesha ufinyu wa mawazo.Do you have an idea on how daft you are?

Hata ikiwa hivyo wewe inakuhusu nini.baadhi yenu mmeshindwa kazi ya uongozi mpo huku kuchafua majina ya wengine tu

Ukiona Mwanaume unashindwa kazi ya kuongoza unaanza kuhofia wanawake wachapakazi ujue kuna tatizo.Mnapoteza kujiamini.Ndiyo maana Malawi nchi dhaifu inaongozwa na mwanamama shupavu inatupelekesha Tanzania imara inayoongozwa na wababa dhaifu.Leo tunatishiwa kunyang'anywa Ziwa Nyasa kwa kuwa tunaongozwa na wanaume dhaifu.Huu ni mzigo kwa Taifa.Usipoachana na mfume dume utakuja kututia aibu siku moja

Ninyi jamaa mmekaa kupika majungu huku tu.She's a Threat kwenu. You lot are a funny bunch! You should spend your time trying to find a way of making the lives of your fellow Tanzanians better.Jengeni chama. I understand some of you are feeling threatened by everything. That's why BAVICHA hasn't been developing the way it should. Tushirikiane kujenga BAVICHA na si kuchafuana humu.Ignorance is the order of the way. This so called 'threat' is only a figment of some over zealous and gutless political bigots. I'm not saying you shouldn't be vigilant, but people should learn to be respectful!

Mkiambiwa bado hamtoshi mnasema mnatukanwa hebu wewe mwandishi soma tena haya uliyoandikautaona jinsi gani una gubu na kisasi, yote haya ni uchaguzi tu ambao mlishindwa sasa nyie watu mnaongelea mwanamke anaitwa Banda mnafiki mchumia tumbo,huyo nae ni Rais wa kusema, what is Malawi by the way..nchi ndogo yenye njaa na inategemea Tanzania kwa kila kitu...kikwete kweli ana mapungufu mengi ila kwa huyu mama wa hovyo kikwete is by far better....aheni Majungu nyie watu wa Bavicha fanyeni kazi...huyo dada kama anaweza kwanini mapovu yawatoke? subiri watu waone watasema wenyewe....kelele nyingi za nini!!
 
Mbeya huwa hatudanganyiki na kushawishika kushabikia watu kirahisi rahisi hivyo chadema huku mbeya mnajidanganya hamuwezi kufanikiwa watu wanajuta kumpa ubunge Sugu mbeya mjini imekuwa ya kihuni na fujo kila kukicha tunatamani uchaguzi ufike haraka tubadili huyu mbunge tunataka mbunge kama Dr mwakyembe au Prof mwandosya watu walichagua chadema wakidhani watatatuliwa matatizo yao jimboni kama walivyoahidiwa na Sugu lakini muda umezidi kwenda hajatekeleza ata moja sasa chadema imedharaulika sana hapa mbeya kutokana na Sugu kushindwa kutekeleza ahadi zake sasa wewe unakuja hapa jamvini na kudanganya chadema inakubalika mjini na vijijini hakuna kitu kama hicho ni uwongo mtupu kilichobaki hapa mbeya mjini Sugu anaungwa mkono na vijana wahuni tu lakini watu wazima na vijana wenye akili timamu hawamtaki tena wanatamani uchaguzi uwe ata leo wamtoe huyu mbunge mbeya mjini imebadilika siyo kama ile ya zamani ya amani na utulivu kila kukicha fujo na maandamano watu wa mbeya hatutaki hayo mambo! Mbeya mjini imekuwa kama kijiwe au gheto hatutakli tena mambo kama hayo hizo fujo,uwongo na makelele yenu pelekeni huko huko Arusha!
 
Mkiambiwa bado hamtoshi mnasema mnatukanwa hebu wewe mwandishi soma tena haya uliyoandikautaona jinsi gani una gubu na kisasi, yote haya ni uchaguzi tu ambao mlishindwa sasa nyie watu mnaongelea mwanamke anaitwa Banda mnafiki mchumia tumbo,huyo nae ni Rais wa kusema, what is Malawi by the way..nchi ndogo yenye njaa na inategemea Tanzania kwa kila kitu...kikwete kweli ana mapungufu mengi ila kwa huyu mama wa hovyo kikwete is by far better....aheni Majungu nyie watu wa Bavicha fanyeni kazi...huyo dada kama anaweza kwanini mapovu yawatoke? subiri watu waone watasema wenyewe....kelele nyingi za nini!!
Duh Somoche upo ? Huji kwa ID yako bado....? Kama huelewi omba taarifa basi
Ukishindwa kufanya kazi usitafute excuse.Una ubavu wa kumshinda nani kwenye uchaguzi wewe?
The level of venom you use to attack anyone who doesn't agree with you suggests that you cant challenge anybody politically.Wenzako wakifanya siasa wewe unachanyikiwa nini?Ndiyo matatizo ya kuzoea mbeleko za kisiasa haya.....!
 
hongera kamanda juliana cdm watakutenga tu ila komaa ndio vyama hivyo vya siasa tanzania.ukihoji kwa maboss unaitwa mamluki.
 
Siasa za BAVICHA ziko very ridiculous! hata haijulikani watu wanachogombania! kama watoto wanaogombania kifuko cha icecream iliyokwishaliwa!
 
kama miaka yote ccm imekuwa madarakani hapo mbeya imeshinndwa kuboresha huduma za maji sugu anawezaje kufanya hivyo kwa miaka miwili na nusu? Au unatuambia sugu alipochaguliwa ubunge hapo mbeya alikausha na hayo maji?
tatizo la magamba, hawajui kupima maendeleo kwa muda wanaangalia karibu wanasahau muda waliokaa madarakani hauwiani na maendeleo ya nchi. Tatizo mwenge umeshaawaathiri....wamepoteza hata uwezo wa kufikiru wamebaki kuwa washabiki wa chama ambacho hakina msaada....waulize wanajua kauli ya vigogo wao wasemapo ccm ina wenyewe? Aangalie mwinyi ana mwanae, makamba ana mwanae, karume ana mwanae, malechela ana mwanae, moses nauye ana mwanae, jk ndo huyo riz anakuja. Sasa yeye ni mtoto wa nani....atashangaaa!!!
 
Duh Somoche upo ? Huji kwa ID yako bado....? Kama huelewi omba taarifa basi
Ukishindwa kufanya kazi usitafute excuse.Una ubavu wa kumshinda nani kwenye uchaguzi wewe?
The level of venom you use to attack anyone who doesn't agree with you suggests that you cant challenge anybody politically.Wenzako wakifanya siasa wewe unachanyikiwa nini?Ndiyo matatizo ya kuzoea mbeleko za kisiasa haya.....!

Tatizo wewe ni kama mbayuwayu unaruka ruka tu na kufikiria kila mtu ni cdm na anagombea Bavicha kisa ulishindwa uchaguzi..sasa jenga chama acha talalila hapa JF...jenga chama watu waone kelele nyingi mara nani alibebwa hazikusaidii!!!
 
No this is below average.It's obvious u lack the mental capacity to comprehend simple grammar.

Kujenga chama ni wajibu wangu.Tatizo siyo mimi au mtu mwingine...ni uwezo wako ulikoishia kaka.acha majungu na excuse

Inferiority of mental capacity and bruised empty ego from a catastrophic loss of a self-inflicted heroe!
 
Nadhani sitabishana na wewe tena coz nimegundua upeo wako ni mdogo sana na kwa maana hiyo nikuache uendelee kuungua na maumivu ya kukosa uenyekiti wa Bavicha...ulichokua unasaka ni cheo wala huna mapenzi na cdm, baada ya kukosa sasa unalia kama paka mwitu...
 
Mzee wa mbeleko,unaongea kama vile ulishinda uchaguzi........
 
Kwa mabishano nayoyaona humu Jf tena ya kitoto sana, ni sawa na yale mabishano ya zitto na mwigulu eti nani alifahulu kwa A kwenye economic UDSM, ni ujinga mtupu kwani mwerevu ukibishana na mpumbavu basi wote akili itakuwa ni sawa, watu hatubishani mambo ya muhimu na badala yake ni personal attacks zisizo na maana, nakuheshimu sana Somechi japo sikujui kwa reality pia nakuheshimu sana Ben saanane tangu nimekujua kwenye harakati hizi za ukombozi wa 2 but kwa vijembe hivi wote nawaweka kundi 1 kwa ni arrogant mans, tena hasa we Ben ambaye unatumia real name humu lakini cha ajabu unajishusha kabisa na kufanya sisi tusione tofauti kati ya BAVICHA NA UVCCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom