Makampuni yanayotaka kutuuzia mbegu

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Naomba kuunga mkono hoja za Zitto, hasa ya kupiga vita Genetically modified Mbegu.
Napinga na kwa jina Kuu la Yesu zishindwe!
Kama tunatazitaka kwa sana, basi tutengeneze kiwanda chetu.
Ila tujue vyakula vyetu ndio basi tena tunaingia kwenye ukoloni mambo leo.
Hivi waziri huyu amehusisha wataalamu kweli? (ambao hawajapewa motisha na makampuni haya makubwa)
 
Back
Top Bottom