Makampuni ya Ulinzi Safiiiiiiiii

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
143
Makampuni ya ulinzi kwa kweli yanakwenda na wakati. Kwa sasa wanaajiri mabint warembo ambao siku za nyuma walikuwa wanapatikana kwenye mapokezi ya mahoteli na ya maofisi makubwa hapa town.

Watoto wa mujini sasa hatukimbizani tena na vitoto vya IFM na CBE kiviile, mambo yote kwa walinzi hawa, ni wakali na wasafi. Hawana longolongo wala usumbufu, unauliza tu anatoka muda gani, akikujibu tayari kesha kuelewa. Sasa mie nakagua mageti ya maofisi tu.

Boflo, MziziMkavu, KingKongIII mambo mapya hayo.
 
Mhhh sikulifahamu hili! Kama ndo wanapatikana kirahisi hivi, uwe makini pia na afya yako, utapotea kwa kupenda rahisi!
 
heshimu amri kumi za mungu, nikukumbushe amri moja tu nayo ni amri ya 6 inasem USIZINI.
Elewa kuwa zimaa ni deni, atalilipa mkeo, mwanao, dadako hata mama yako mzazi.
Unachofanya kwa binti wa mwenzio tegemea kabisa na mtoto wako au dada yako au ndugu yako yoyote kuja kufanyiwa vivyohivyo au zaidi.
 
Hapa kwetu kampuni ya ulinzi wametuletea vibinti vibayaaa wala havina mvuto, je ni wapi huko kwenye mabinti wenye mvuto bro tubadilishe kampuni.....?
 
Mhhh sikulifahamu hili! Kama ndo wanapatikana kirahisi hivi, uwe makini pia na afya yako, utapotea kwa kupenda rahisi!
did i ever give u a SALUTE?well huwa nazizimia kimya kimya post zako!
WE KWELI NGUVU YA FARASI!UBARIKIWE KAKA!una busara ile mbaya!
 
Back
Top Bottom