Makampuni ya uchukuzi kwa kila mkoa

omben

JF-Expert Member
May 30, 2012
812
449
Jamani naomba kujuzwa hizi kampuni za uchukuzi kwa kila mkoa ambazo ni Iringa(iringa retco) Mbeya(mbeya retico)Mwnza(kauma) Ruvuma(kauru) Morogoro(mororetco)n.k. Hivi hizi kampuni ziko wapi maana nimepita Morogoro kwenye karakana ya kampuni hiyo nimeona magari machakavu ambayo yapo juu ya magogo.
Iringa nimeona hata karakana imegawiwa kwa watu wengine. Mbeya nineona mabasi ya sumury ndiyo yamepaki kwenye hiyo karakana hamuna hata lorry moja la ile kampuni(mbeyaretco). Kwa yule anayefahamu haya makampuni yameuzwa au yamefilisika. Naomba kujuzwa.
 
Back
Top Bottom