makampuni ya simu

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Waungwana,
Nimejiuliza na kutafakari kwa kitambo pasipo kujua ya kwamba 'inakuwaje hakuna vyama vya wafanyakazi wa makampuni ya simu hapa nchini'. Ukiangalia makampuni haya ya simu yameshaota mizizi kwa zaidi ya miaka kumi, lakini vyanzo vya kuaminika vinadai eti wamiliki wa kampuni za simu HAWAPENDI kuwepo na muunganiko wa wafanyakazi katika kudai maslahi yao kupitia vyama halali vya wafanyakazi.
Mfano ni hii ambush ya karibuni iliyowafika baadhi ya staffs wa vodacom kutemeshwa kazi kiajabu-ajabu tu, enzi za BUZZ walijaribu kudai chama cha wafanyakazi wa MIC na kilichowakuta ni kufukuzwa kazi,,kwa nini kusiwepo vyama hivyo mfano wa TUGHE etc???
Mwenye vina juu ya hili hebu tufunulieni KULIKONI?
 
Acha unafiki na majungu wewe........TEWUTA NA COWTU ni nini?? Peleka majungu yako uswahilini sio kwa great thinkers.....P.U.MBAVU!!
 
Ahsante kwa yote, nisamehe kwa kuku-undermine juu ya hilo.
 
Nadhani nimeeleweka vibaya,
Nimeanza kwa neno 'waungwana', sijui matusi yameingiaje,
anyways, UUNGWAANA NI VETENDO...by jenerali Ulimwengu.
 
Pole ndugu Mpevu watu wengine inabidi kuwavumilia!!
 
Pole mh mpevu, kumbuka wengine ni walevi hapa, wanataka uongee kinachowapendeza hasa mambo ya AR.
 
Acha unafiki na majungu wewe........TEWUTA NA COWTU ni nini?? Peleka majungu yako uswahilini sio kwa great thinkers.....P.U.MBAVU!!

Kama una hasira za hivyo nenda kajiunge na chuo cha polisi. Utuambie hivyo vyama ulivyovitaja vina matawi katika makampuni ya simu au umetutajia tu vyama?
 
Back
Top Bottom