Makampuni ya simu na sms zao ni haki hii au wizi?

Kila waka ndi! ndi! ndi! kwenye simu! haraka haraka unachungulia... FURAHIA ... CHAGUA .. SHINDA NK omba isije ikawa umenunua muda wa maongezi kupitia ... pesa utapigwa message hadi tano hii imekaaje?:lol:

Swali lako zuri hata mimi inanikera sana naamini tuko wengi tunaochukia hizi 'un solicited messages' hivi nini haki yetu kama wateja- TCRA mnasemaje?
 
Back
Top Bottom