Makampuni ya simu na mishahara kiduchu

MDANGANYIKAJI

Member
Jan 27, 2011
77
59
Nina marafiki wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya simu lakini system hii ya kuajiliwa na agents then unapewa half of your salary sidhani kama ni fair.
Eg. Airtel net salary ni 270000 regardless you are graduate or having certificate for customer care while you work in 9 to 10 hours with night shifts nad only a day and half ya mapumziko is this fair?
I think they are taking advantage of unemployment situation in tanzania so wewe ukikataa kuna watakaofanya ila ni kama utumwa ndani ya nchi yetu wenyewe pls kwa yoyote anayehusika serikarini angalieni hili.
Ni yangu toka moyoni.
 
That's exploitation really...how can a graduate person be paid that sum of salary..and they really make a lot of profit this mashirika ya simu.
 
huko kwa wahindi na kwa baresa mnajua mishahara yao? sio simu tu...mtu analipwa 80 elf kwa mwez we unasema laki2?
 
Nina marafiki wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya simu lakini system hii ya kuajiliwa na agents then unapewa half of your salary sidhani kama ni fair.
Eg. Airtel net salary ni 270000 regardless you are graduate or having certificate for customer care while you work in 9 to 10 hours with night shifts nad only a day and half ya mapumziko is this fair?
I think they are taking advantage of unemployment situation in tanzania so wewe ukikataa kuna watakaofanya ila ni kama utumwa ndani ya nchi yetu wenyewe pls kwa yoyote anayehusika serikarini angalieni hili.
Ni yangu toka moyoni.

Unasema KAMA mtumwa,infact you are a slave,kama hujui kalagabaho.Tena utumwa huo ni mbaya kwa kuwa ni wa hiari!Halafu mbaya zaidi unatekeleza agenda usizozijua.
 
Dah!
Ngoja nitafute mtaji hata wa karanga niachane na habari za kutafuta kazi.
 
Unasema KAMA mtumwa,infact you are a slave,kama hujui kalagabaho.Tena utumwa huo ni mbaya kwa kuwa ni wa hiari!Halafu mbaya zaidi unatekeleza agenda usizozijua.
Eleza unachomaanisha...Wengine hadi tuone picha ndo tunaelewa!:A S clock::angry:
 
Mbona hii habari ya makampuni ya simu na mishahara yake inachanganya, wengine ukiwauliza wanakuambia wanalipa vizuri, kuna mtu aliniambia kuna kampuni moja ya simu ukiwa na bachelor degree ya computer science unalipwa si chini ya dola 1000 kwa mwezi, sasa hapa ukweli sijui ni upi
 
Hizi ndio sababu mojawapo ya kuiwajibisha hii serikali yetu, inatusahau sana wananchi na kukumbatia wawekezaji.
 
Nina marafiki wengi wanafanya kazi kwenye makampuni ya simu lakini system hii ya kuajiliwa na agents then unapewa half of your salary sidhani kama ni fair.
Eg. Airtel net salary ni 270000 regardless you are graduate or having certificate for customer care while you work in 9 to 10 hours with night shifts nad only a day and half ya mapumziko is this fair?
I think they are taking advantage of unemployment situation in tanzania so wewe ukikataa kuna watakaofanya ila ni kama utumwa ndani ya nchi yetu wenyewe pls kwa yoyote anayehusika serikarini angalieni hili.
Ni yangu toka moyoni.

si kampuni za simu tu,fuatilia hata kny mabank! Serikali inahitaji kunya kitu juu ya hili
 
Usidanganyike, Kuna mikopo ya muda mfupi na mrefu katika mabenki ndio inayonunua hiyo mikoko.
 
Sio mishahara tu, hata media zinalia. Mitangazo kibao lakini kulipwa mpaka wapigiwe magoti! Wizi mtupu!:angry:
 
Ni KILA Mahali, watu tunaishi kwa kuiba either direct or indirect kwa mfano kama hutafanya kazi kwa muda unaotakiwa hapo pia ni wizi!!!
 
nafikiri anamaanisha customer care baada kuwa outsourced....wajua kabla makampuni simu kuwapa watu binafsi walete wafanyakazi wa customer care(ili kupunguza gharama)...mfano tigo,airtel na vodacom!kila kampuni ina agent wao sasa ukipelekwa unapatana upya mshahara....kabla hapo nasikia walikuwa wanalipwa vzr sana karibia 1m net kwa customer care,sasa wanapewa 350,000/
 
Yoyote anayefanya kazi za shift katika sheria ya ajira na mahusiano kazini ELRA 2004 anastahili malipo ya ziada, aidha new wage order imeainisha vima vya mishahara kwa makampuni binafsi ,migodi ,viwanda etc

Ninawasiwasi hivyo vima vinavyolipwa ni katika outsourced services...
 
Back
Top Bottom