Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

Halafu haya majizi yalikuwa na nyodo kweli kweli. Ukiona gari badala ya plate namba za kitanzania yenyewe yanaandika majina yao kuonesha jeuri ya fedha kumbe majizi. Kuna RR moja huwa "namba" zake ni kwa kifupi sana "MO" sijui huwa ni ya nani ile gari. Halafu huu ujinga ulikuwa introduced na TRA ambako nako kulikuwa kumejaa majizi.
Usi generalize. CCM wanayo mengi yenye plate namba za maneno au unataka kusema nao majizi?
 
Hahahaa haswa Tabata wanatusumbua sana,ila dah!!sifurahii kuna mmoja ni client wangu ananipa kazi za ramani za majengo naona amepigwa kufuli,so sad...
Pole. Wote tutaumia kwa namna moja au nyingine. Haya mabadiliko haya- affect mhusika peke yake bali jamii nzima.
 
Acha wewe Nani hajui kuwa nusu ya hayo makampuni yameponzwa NA home shopping ????

Ukweli tuuseme ....home shopping NA kina silent ocean ( kampuni Moja )walikuwa wamedhibiti soko.,,, NA wakatumia umasikini wa kampuni nyingi kukodisha kwa malipo ya milioni 10 HADI 20 kwa MWEZI ....

Dili zote chafu HSC...walikuwa wakipitisha kwenye makampuni ya kukodisha ......Leo hii wanaodaiwa mabilioni hawana Hata asset ZA milioni 100 ........home shopping ,silent ocean ,GSM Wao wanatamba....mwenye ushahidi aje ????? Wameaharibia wanyonge maisha ...
Mkuu usipende kuokota maneno kwenye vijiwe na kuleta JF ili kukata mzizi wa fitina tutajie hizo kampuni ambazo zilikuwa zinakodishwa na Silent Ocean.

Kwa kukusaidia tu hizo kampuni zote zilizofungwa zote zimeshiriki kwenye kutorosha makontena.

Inawezekana vipi Silent ndiyo kasababisha hizo kampuni zifungiwe halafu Silent wao wabaki salama.

Kuna kampuni kubwa kwenye hiyo orodha sijui kama unazijua wapo siku nyingi kabla ya Silent.
 
KAS Freight nao wamo? WTF! Sasa hizi ni kama 90% ya clearing & forwarding companies in Dar.
 
Makampuni Zaidi ya 200? hii inaonyesha ni jinsi gani mazoea yalivyo kuwa tabia, Usiishie Kuwafungia na kuwanyanganya vibari tu, bari wamiliki, watumishi wa ngazi za juu wahayo makampuni wafungiwe kufanya hizo kazi.
Haya makampuni siyo ya kuyaonea huruma kabisa, kwani yanatabia ya kuuma pande zote mbili, yanawaumiza serikali na pia yanawaumiza wateja wao, Yafutwe kabisaa.

Makampuni yafuatayo ya kupitisha mizigo bandarini (Clearing and Forwarding Agents) yamezuiwa kufanya kazi katika bandari zote zinazomilikiwa na TPA pamoja na washirika wake (ICS’s, CF’s na TICTS) tangu 9 Februari 2016. Uamuzi huo umechukuliwa kwa sababu ya kushindwa kuwasilisha vielelezo vya malipo, kama walivyotakiwa na mamlaka ya bandari. Pia wameshindwa kufika bandarini kupokea nyaraka kadhaa kuhusiana na madeni wanayodaiwa na TPA.

Orodha ya Mawakala wa kupitisha Mizigo bandarini (CLEARING & FORWARDING), Waliosimamishwa kutoa huduma katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Kuanzia Februari 9, 2016 ni;

1. 21st Century Freight Forwarders
2. Aristepro Investment Co. Ltd
3. Ace Exim
4. Ally Vay C & F Agency
5. A & D Holdings Ltd
6 A & G Holdings Ltd
7.ACW Investment Ltd
8.Afro Centre (T) Ltd
9.Allmol trading
10.Amico Trading Ltd
11.Avow Holding (T) Ltd
12.Afritel Systems Ltd
13.Afrovision International Co. Ltd
14.Arusha Cargo Clearing & Forwarding Ltd
15.Arusha Freight Transport Agency
16.Bakhresa Food Products Ltd
17.Boston Forwarders Ltd
18.Babylon Freight Ltd
19.Beam Tanzania Ltd
20.Best Ocean Air Ltd
21.Break Through Holdings Ltd
22.Business Service Promotion Ltd
23.B & J Co. Ltd
24.BNM Co. Ltd
25.Boneste General Enterprises Ltd
26.Blue Light Investment Ltd
27.BN Metro ( E.A) Ltd
28.Cad Mulungu Co. Ltd
29.Capital Cargo Removers Ltd
30.Cargo Stars Ltd
31.Car Freight Station ICDV
32.Clear Services Tanzania Ltd
33.Clampek (T) Ltd
34.Classic Choices Investment Ltd
35.Continetal Reliable Clearing Ltd
36.Conanza Express Ltd
37.Cos Africa Logistics Ltd
38.Cosmos Haulage Co. Ltd
39.Chissel C & F Ltd
40.Cusna Investment Ltd
41.Daffor Enterprises Ltd
42.Dynamic Freight Forwarders Ltd
43.Datar & Co. Ltd
44.Dar Es Salaam Global Access Ltd
45.Dar Coast Enterprises Ltd
46.Denilo Freight Ltd
47.Destination Tanzania Cargo Logistics
48.Divine Cargo Services Ltd
49.Dow Elef Ltd
50.Dolusi (T) Ltd
51.Dolphin Sea And Air Ltd
52.E-3 Freight Co. Ltd
53.Eagle Tallons (T) Ltd
54.Econ Consult & Trading Co. Ltd
55.Eltex Investment Ltd
56.Edams Holdings Ltd
57.Efficient Freighters (T) Ltd
58.Equity Agencies
59.Expro Freight Services Ltd
60.Evergreen General Logistics (T) Ltd
61.Enterprises Logistics Ltd
62.East African Fossils Fossils Ltd
63.Fedrol Cargo Ltd
64.Full Cargo Support Ltd
65.Freight 24/7 Ltd
66.Favre Freight Forwarders Ltd
67.Freight Forwarders (T) Ltd
68.Freedom Freight Forwarders Ltd
69.Fifa & Flow Co. Ltd
70.F.K. Farms & Co. Ltd
71.First Choice Clearing & Forwarding Ltd
72.Freight Works Ltd
73.Frafza Freight Forwarders Ltd
74.General Envirocare (T) Ltd
75.General Shami Investment Co. Ltd
76.Glory Freight Ltd
77.Grand Movers Co. Ltd
78.Gwiholoto Impex Ltd
79.GS InterTrade Co. Ltd
80.Hamymack Trading Co. Ltd
81.Hadolin (T) Ltd
82.Hasa Customs Agency (T) Ltd
83.Horizon Freight Forwarders Ltd
84.Hodari Freight Ltd
85.Hardmark Logistics Ltd
86.HK Freight Forwarders Ltd
87.Hotreef Trading Ltd
88.Home Base Tanzania Ltd
89.Ilemela Investment Ltd
90.Impact Trading And Investment Co. Ltd
91.Jambo Freight Ltd
92.Jas Express Ltd
93.Jamaap Co. Ltd
94.Joe Ocean C & F Ltd
95.Juhudi Clearing And Forwarding
96.Juni Trust Freight Tz Ltd
97.Kas Freight Ltd
98.Kahe International Ltd
99.Kassam freight Ltd
100.Kiwaepa International Co. Ltd
101.Khan's C & F Ltd
102.Kams Trading Ltd
103.Kings Freight (T) Ltd
104.K & K Cargo Logistics
105.K&K Company Ltd
106.Kadengere Traders Ltd
107.Korufreight (T) Ltd
108.Lawia (T) Ltd
109.Laz ltd
110.Lesidi General Cargo Ltd
111.Liberal International Ltd
112.LCR Limited
113.LDV Macro Investment Ltd
114.Logistics Efficiency Co. Ltd
115.Lesheti Trading Ltd
116.Lichinga (T) Ltd
117.Mambona freight Ltd
118.Mamba Enterprises Ltd
119.Maxima C & F Ltd
120.Mwaya C & F
121.Marine Air Freight Ltd
122.Maritime Shipping Consultants
123.Mechanised Cargo Systems
124.METL
125.Metrologic C &f F Ltd
126.Minex Logistics Ltd
127.Mpepa Traders Co. Ltd
128.Mogo Forwarders Ltd
129.Mokha Agency Co. Ltd
130.Mwagy Investment Ltd
131.Naito General Supplies Ltd
132.Nal Business Co. Ltd
133.Nemarts Limited
134.Neighbour Trading Co . Ltd
135.Ngaramau Contractors Ltd
136.Nutricare (T) Ltd
137.Nkira Trading Ltd
138.NM Freight Ltd
139.Overseas Hi-Tech Industrial Ltd
140.Orbit Freight Ltd
141.Pasiwa Cargo Ltd
142.P & D Freight Forwarders Ltd
143.Platinum Trading Co. Ltd
144.Palm Swift Tz Ltd
145.Quality Logistics Ltd
146.Runner Co. Ltd
147.Rungwe Trading Ltd
148.Reindeer Investment Ltd
149.Regent (T) Ltd
150.Rukwi Holdings Ltd
151.Royal Freight Ltd
152.Ruma International Ltd
153.R.H.G General Traders Ltd
154.Sky Land Across Freight
155.Sai C & F Ltd
156.Shift Cargo Ltd
157.Sachsen Spedition Ltd
158.Sahara Desert Freighters
159.Sahuse Services & Supplies Ltd
160.Selwek & Solar Forwarders Ltd
161.Sami Agency Ltd
162.Sahe C & F Ltd
163.Sangare Express Ltd
164.Sea Bridge Co. Ltd
165.Sea Air Forwarders Ltd
166.Sea Africa Cargo Freight Ltd
167.Scol (T) Ltd
168.Shakura Trading Services
169.Space Land Logistics
170.Senkondos Import & Export Ltd
171.Smith Freight Forwarders Ltd
172.Sino Logistics Ltd
173.Scanland Shipping Consultants Ltd
174.SpacelandLogistics Ltd
175.Sachsen Spedition Ltd
176.Swiftways International Ltd
177.Stepio Freight Ltd
178.Switch Trade Ltd
179.Sun Fresh Co .Ltd
180.StarVision International Ltd
181.Tanga Cargo & Trust Ltd
182.Trade Waves Investment Co. Ltd
183.Transit Ltd
184.Trident Clearing Ltd
185.Team Freight
186.Trans Net Freighters
187.Three way Shipping Service Ltd
188.Trans Pack Tanzania Ltd
189.Trans African Forwarders Ltd
190.TransBarriers Freight Ltd
191.Transit Ltd
192.Tripple D
193.Twende Freight Forwarders Ltd
194.Ujiji C & F Ltd
195.United Youth Shipping Co. Ltd
196.United family Co. Ltd
197.Uwanji General Tradersb Ltd
198.Uprising C & F Ltd
199.Upland Freight Ltd
200.Vigu Trading Ltd
201.Vamwe Investment Co. Ltd
202.Viccom resources co ltd
203.Way Logistics Ltd
204.West Freight Forwarders
205.Wings Wheels Co. Ltd
206.Walmax Freight Forwarders Co. Ltd
207.Xpress Maritime Agency Co. Ltd
208.Zappex International Ltd
209.Zaihuse C & F Ltd
210.Zzoikos (T) Ltd

F.J. Liundi
For : Port Manager
Dar es Port.
 
Watz tusishangilie kwa kampuni 200+ kufungwa km kweli tuna mapenzi ya kweli na nchi yetu labda km hizi kampuni zilikuwa hazifanyi kazi kwa muda km zilikuwa zinafanya kazi Taifa litapata hasara badala ya faida kiuchumi ebu chukulia kila kampuni imeajiri wafanyakazi 5 na kila mfanyakazi anawategemezi walau 5 watu watakaoathirika kiwango cha chini ni 5×5×200=5000 kiwango hicho si kidogo kwa uchumi wa taifa

Hizi hesabu, ushauri, na utetezi unakuja baada ya kuharibu, Je kabla ya kukwepa kodi wakati unakwepa kodi mliyafikiria hayo, Je wakati Mnawaajiri hao vijana wakati hamkuyajua hayo ? Mwacheni Magu afanye kazi yake kama nyie mlivyofanya kazi yenu .
 
Hiyo inaruhusiwa kwa mjibu wa sheria zetu, hata wewe unaweza kuandika dudus kwenye gari yako. ....ila milioni tano kwa mwaka kama sikosei.

Hiyo ni kibri ya hela; hela ambazo nyingi zimetokana na "ujambazi" wa kimfumo kama haya tunayoshuhudia leo. Natumaini umenielewa.
 
Forbes wanapaswa kujua kuhusu hili

Ha ha ha! Ili wawa-delist kutoka kwenye orodha ya watu wenye ukwasi Afrika. Wote hao tunaowaona wakwasi wamo kwenye hii listi ya aibu - Bakhresa, Malinzi, Dewji, Manji, et. al. Hayo ni majina "makubwa" Tanzania lakini ni "majambazi" ya kimfumo. Hawa ingekuwa China/N. Korea ni kitanzi tu na ukwasi wao.
 
Private number hata wewe unaweza kuweka sio anasa

Weka private number lakini marufuku kuonekana kwenye list za ajabu ajabu kama hii ya TPA. Otherwise wewe ni jambazi tu kama majambazi mengine. Tofauti huendi field moja kwa moja na silaha ila vitendo vyako ni maangamizi kwa taifa kuliko jambazi la silaha.
 
Mkuu usipende kuokota maneno kwenye vijiwe na kuleta JF ili kukata mzizi wa fitina tutajie hizo kampuni ambazo zilikuwa zinakodishwa na Silent Ocean.

Kwa kukusaidia tu hizo kampuni zote zilizofungwa zote zimeshiriki kwenye kutorosha makontena.

Inawezekana vipi Silent ndiyo kasababisha hizo kampuni zifungiwe halafu Silent wao wabaki salama.

Kuna kampuni kubwa kwenye hiyo orodha sijui kama unazijua wapo siku nyingi kabla ya Silent.

kuishi mjini kwa upambe tabu sana ...

baada ya kutumia makampuni ya wanyonge kwa malipo ya shilingi milioni 10 hadi 20 kwa mwezi .....mtu anatamba kuwa mwenye ushahidi aje .....HAWAJABAKI SALAMA KAMA UNAVYODHANI ..SERIKALI SIO WAJINGA WATAJUA MAHALA PAKUWABANA.......
WEWE unategemea kuwe na ushahidi gani wa kuwashika kama kampuni za kufanya madudu zilikuwa zinakodishwa kwa mali kauli ...kupitia third parties na malipo pia kufanyika huko huko mtaani .....unafikiri system ilikuwa haioni ??
 
Kuna kijamaa kimoja kinanisumbuaga vibaya mno na vipesa vyake vya Clearing nachenyewe kimetumbuliwa kumbe kilikua kijipu teh teh teh teh Safi sana
 
12715760_1038595886204869_1839028257492483514_n.jpg
 
Back
Top Bottom