Makamishna wawili wa ZEC wasema hawatambui uamuzi wa kufuta matokeo

Wamesema pia jaji mkuu wa Zanzibar alikamatwa akawekwa chini ya police baada ya Jecha kutangaza kufuta uchaguzi!
 
1 Hon Jecha Salim Jecha Chairman 2013 to date
2 Hon Justice Abdulhakim A. Issa Vice Chairman 2013 to date
3 Hon Ambassador Omar Rmadhan Mapuri Commissioner 2013 to date
4 Hon Ayoub Bakari Hamad Commissioner 2013 to date
5 Hon Haji Ramadhan Haji Commissioner 2013 to date
6 Hon Nassor Khamis Mohammed Commissioner 2013 to date
7 Hon Salimin Senga Salmin Commissioner 2013 to date
8 Mr Salum Kassim Ali Director of Elections 2013 to date
Hiyi ndiyo ZEC
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe!

Nimewasikiliza vizuri BBC! Wametia aibu saana! Eti Yale ni maamuzi ya Jecha kwa sababu wao hawakuunga mkono kurudiwa kwa uchaguzi! Eti jecha anawaburuza kwa sababu ktk maamuzi ya kufikia muafaka wajumbe wengi wanamuunga mkono na hivyo maamuzi yake kupita!

Kha! Kumbe walitaka eti hao wawili ndo wasikilizwe kinyume na kanuni za ZEC? Pathetic !!!
 
kwa kuwa walikuwa wamekwisha shinda....

hahaha... ccm bhana hawaishiwi vioja...

walijuaje wameshinda na matokeo hayakuwa yametangazwa?...

kuwa mwana ccm, ni lazima ujitoe ufaham...uwe zuzu ama msukule ndo utaweza kukubali mambo yanayofanywa na viongoz wa ccm.....

kwa hiyo na wao wanapinga uchaguzi kurudiwa?... ili mshindi atangazwe?...
 
Kama Jakaya mwenyewe akiwa Amiri jeshi hakupenda uchaguzi urudiwe lakini Jecha kaufuta na Unarudiwa itakuwa hivyo vikamishna uchwara?
Tulipofikia hata Jecha mwenyewe Hana ubavu wa kupinga Marudio ya Uchaguzi!!

Nashauri CUF waige wenzao wa CcM wa kurudia uchaguzi hata kwa shingo upande kwa Maslahi mapana ya Wazanzibari.
 
Yupo mafichoni ambako amefichwa na watawala huku wakimpa ulinzi wa 'kufamtu' wa vikosi vyetu vya usalama.

Hakika huyo mzee kwa kukubali 'maagizo' aliyopewa na watawala wa CCM yatamfanya katika maisha yake yote yaliyobaki hapa duniani aishi maisha ya kujitenga na jamii na kuishi maisha ya wasiwasi kupita kiasi.
Hapa ndo ninapooaga tu uchawi hauna dili. Mtu mmoja tu ndo anasumbua, wachawi walitakiwa wampige kitu cha kupooza zimruke, makamu mwenyekiti chukue mikoba
 
Jecha anatumwa na CCM kufanya haya yote ayatendayo. Tena yupo utupu mbele za wapenda demokrasia na haki. CCM walikomaa na uchaguzi wa huku bara sasa wakamsahau Shein peke yake. Hivyo akashindwa kuchakachua. Hivyo wakamtuma Jecha kufuta uchaguzi ili wazichange karata vema
 
Kama Jakaya mwenyewe akiwa Amiri jeshi hakupenda uchaguzi urudiwe lakini Jecha kaufuta na Unarudiwa itakuwa hivyo vikamishna uchwara?
Tulipofikia hata Jecha mwenyewe Hana ubavu wa kupinga Marudio ya Uchaguzi!!

Nashauri CUF waige wenzao wa CcM wa kurudia uchaguzi hata kwa shingo upande kwa Maslahi mapana ya Wazanzibari.
Wanzanzibari walishashinda tah 25/10.na hawatarudia tena uchaguzi wa chama kutafuta viongozi wa chama sio wa wazanzibari
 
Maslahi yepi? Kwani CUF si wamejitoa kwenye huo uchaguzi uchwara? Hivyo ni wakati wa CCM kushangilia ushindi wa kishindo. Hivi mpo kwenye mashindano ya mbio, halafu wewe unamkwatua mguu mshindani wako na kumvunja mguu; halafu unamgeukia na kumwambia njoo tushindane? kweli inawezekana hilo? Tufike mahali tuheshimu utu wa Wana CUF
 
Wanzanzibari walishashinda tah 25/10.na hawatarudia tena uchaguzi wa chama kutafuta viongozi wa chama sio wa wazanzibari
Sio wazanzibar wote waliomchagua Maalim Seif maana Zanzibar sio Chama, hivyo kusema Wazanzibar walishashinda si sawa
 
Back
Top Bottom