Elections 2010 Makame anataka kujiuzulu kwa aibu!

I dont find it Ok to blame Makame and the Like...."THE WHOLE SYSTEM IS GARBAGE" its so hard to go against ur Boss no matter the situation is... Who appointed Makame??? RC's, DC's, DED's,.....what do u want them to DO??? To do against their BOSS??? Then if they can dare WHAT NEXT??? Where will their salary come from???

I am sure what they have been doing is not on their own will....They did what they did under the state house supervision...Its a Straight line (Linear (y=ax+B) kind of leadership....Do as u are told...No questions...They were told to do what they did and due to their thinkin capacity they did it while thinking that we wont understand as long as we are not within the Loop....Here we are........

I hate the statement that GOD will Punish them for their wrong doings.... NO....BIG NO..... We need to punish them b4 God does So....and for sure We WILL......Lets wt n c......

HAKI YA MTU HAILIWI
 
Mimi mwanzo dhuluma ilipoanza kutendeka niliwaomba watanzania wote wenye mapenzi mema na uzalendo kuptia JF kumuomba Mungu ausaidie kupata haki yetu kwani shetani kachachamaa na ambaye anamuweza kumshughulikia ni Mungu tu. Sasa maombi yetu yanajibiwa na yataendelea kujibiwa tu na hii ni IMANI yangu na wengi wetu, na IMANI tu ndio itakayotuponya.

Jaji Mstaafu Lewis Makame ni sawa na Yuda Iskariote, baada ya kusaliti sasa ana angaika moyoni na ni maangaiko makubwa karibu sawa na yale ya Yusufeli.
 
Nasikia Makame anataka kujiuzulu kwa aibu, baada ya kubaini alipotoshwa na UWT -- ila tu baadhi ya makamishna wazee wengine wanamsihi abakie madarakani hadi zoezi la kutanbgaza matokeo liilshe. Bila shaka anaanza kutubu kwa madhambi aliyowafanyia Watz.

Naye Kiravu tangu ashinikize kutangazwa kwa matokeo ya Segerea amekuwa haonekani katika vikao kadha vya Tuyme na taarifa zinasema anasumbuliwa na sukari.

Lewis naye ana kisukari!
 
kazi aliyotumwa kuifanya kaimaliza na kapata mtaji wa maisha yake na familia yake kutoka kwa mafisadi kwa hiyo kujiuzulu ni kujipa nafasi ya kutumia mihela na kuishi kifalme
 
Nasikia Makame anataka kujiuzulu kwa aibu, baada ya kubaini alipotoshwa na UWT -- ila tu baadhi ya makamishna wazee wengine wanamsihi abakie madarakani hadi zoezi la kutanbgaza matokeo liilshe. Bila shaka anaanza kutubu kwa madhambi aliyowafanyia Watz.

Naye Kiravu tangu ashinikize kutangazwa kwa matokeo ya Segerea amekuwa haonekani katika vikao kadha vya Tuyme na taarifa zinasema anasumbuliwa na sukari.

Atajijengea heshima kubwa kama atajiuzulu kabla ya kutangaza matokeo ya Urais.
 
I dont find it Ok to blame Makame and the Like...."THE WHOLE SYSTEM IS GARBAGE" its so hard to go against ur Boss no matter the situation is... Who appointed Makame??? RC's, DC's, DED's,.....what do u want them to DO??? To do against their BOSS??? Then if they can dare WHAT NEXT??? Where will their salary come from???

I am sure what they have been doing is not on their own will....They did what they did under the state house supervision...Its a Straight line (Linear (y=ax+B) kind of leadership....Do as u are told...No questions...They were told to do what they did and due to their thinkin capacity they did it while thinking that we wont understand as long as we are not within the Loop....Here we are........

I hate the statement that GOD will Punish them for their wrong doings.... NO....BIG NO..... We need to punish them b4 God does So....and for sure We WILL......Lets wt n c......

HAKI YA MTU HAILIWI

True. This problem is not Makame's or Kiravu's. It emanates from the constitution and our electoral laws which give too much power to the President to do as he likes even if that means stealing votes in his favour.

Wasimamizi wa uchaguzi ni wakurugenzi wa miji, halmashauri za wilaya na manispaa. Hawa ni waajiriwa wa wizara ya TAMISEMI na wanaripoti kiutendaji wizarani na kwa wakuu wa wilaya na wa mikoa ambao kimsingi ni wateule wa rais na ni makada wa CCM. Hawa hawawezi kupingana na mabosi wao wanapopata maelekezo toka kwa wakuu wa wilaya kwani kwa kufanya hivyo watakuwa wanapingana na rais na mwenyekiti wa CCM taifa.

Hivi kweli mkurugenzi ana ubavu wa kumkatalia waziri au naibu waziri wa TAMISEMI akipewa maelekezo ya kuchakacha matokeo? kumbuka kuwa mawaziri wote wameendelea kushika nyadhifa zao kipindi chote cha uchaguzi na mpaka tunavyoongea sasa hivi bado ni mawaziri.

Lazima tukubali kuwa NEC haiwezi kutangaza matokeo ambayo rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hakubaliani nayo kwani nao ni wateule wa rais na bahati mbaya rais anagombea urais wakati bado akiwa kwenye madaraka yake. Kwanza NEC haina mamlaka ya kuwasimamia wasimamizi wa uchaguzi moja kwa moja kama tunavyodhani. Wao wanaishia kupeleka masanduku ya kura na karatasi na kinachoendelea baada ya hapo kiko nje ya uwezo wao. Kwa ufupi Tume ya Uchaguzi tuliyonayo siyo huru na haiwezi kuendesha uchaguzi ulio wa huru na haki.

Hii habari kuwa Mungu atawaadhibu sidhani kama ina mantiki kwani Mungu ametupa akili za kupambanua mema na mabaya na anatutarajia tutumie akili zetu kuondokana na mabaya. Hawezi kuja kutufanyia kazi ya kuchagua viongozi au kubadilisha mifumo dhalimu.

Atajijengea heshima kubwa kama atajiuzulu kabla ya kutangaza matokeo ya Urais.

Hawezi kujiuzulu na hizo unazosikia ni tetesi tu ambazo hazina mashiko. Tanzania hatuna utamaduni wa kujiuzulu na kwa kuwa ni mteule wa raisi anachoweza kufanya ni kumwomba aliyemteua atengue uteuzi wake na kama aliyemteua nado anamhitaji hatamruhusu ajiuzulu.
 
Back
Top Bottom