Elections 2010 Makamba: Watanzania Watasahau .... Watatupa tena!

yaani hili babu choka mbaya!!!! Mdomo kama huna meno! Mwone kwanza! Kwani sisiem mmeshinda au mmetupora ushindi wetu? majimbo mangapi mlikuwa mmepoteza mpaka mmetumia nguvu? 2015 thubutu kama hatutawatoa ngeu. Tumegundua janja yenu mambo yote ki-Mwanza mwanza tu mpaka kieleweke. Uchaguzi ujao hampati kitu bandugu!!

Zee linamwaga pumba tu hadharani hata aibu halina kubwa jinga wewe
 
anaongea hivyo maana ndio anavyowaona ,so anatatizo ? wakati anasema ukweli/
 
Lakini kasema ukweli pamoja na uvuvuzela wake mkuu!!! WaTZ tunajulikana kwa kusahau...:A S angry:

jana nilisema katika post ya "Stashangaa washabiki wa CCM na JK kufanya yafuatayo!!! SOMA NA TAKAFAKARI" nilisema mwaka 2015 watannzania watavaa kofia na na kanga za CCM na kuipigia regardless ya matatizo yote yaliyopo.. Kwa hiyo Makamba anawajua waTZ vizuri.. kikubwa ni kuelimisha sana umma bila kuchoka.....

soma: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-jk-kufanya-yafuatayo-soma-na-takafakari.html

tusimlaumu MAKAMBA bali tujilaumu sisi WaTZ!!!!!!. labda pia tuwalaumu wale woooote waliotunyima elimu. si bora elimu bali elimu ya kutafakari!!!!!
 
Kinachosikitisha Watanzania wengi ni mambumbumbu mno, wagumu kuelewa na wepesi kusahau.
Trend imeonekana katika uchaguzi huu. Mikoa ambayo wana uelewa wa mambo na shauku ya mabadiliko ya maisha wameibwaga CCM na walikua tayari kulinda ushindi wao, Lakini mikoa mingine ambayo bado wamelala, sidhani kawa wataamka katika kipindi hiki.

Labda watakaponunua Sukari kwa SHS 2,500/- Mchele shs 3,000/- Cement Shs 20,000/- Bati SHs 20,000/- na 1 USD = Tshs 3,000/- ndipo watakaposhika akili vichwani mwao, But then it will be too late.

Lets wait and see hii miaka mitano italeta nini maana Mkataa Jema, Baya humsubiri.
Mkuu, nadhani umesahau zero moja mwisho wa kila tarakimu. Maana bei hizo zimeshafikiwa katika baadhi ya maeneo nchini.
 
Tusi mtukane Makamba ila tujitukane sisi wenyewe na watu wetu,iweje mtu na akili zako unaambiwa kabisa utasahau tuliyo kutenda na kura uta tupa tu!na nyinyi mnasema ndio mzee!ni ujinga wa tz!kwanini wana ichagua CCm yenye Kashfa kila kona,kila wizara,kila ngazi ya serikali???
Acha makamba awatukane kabisaa agrhhhh.AMKENI WA TZ!
 
Makamba hajakosea kwa mtindo huu niuonao, watanzania watawapigia kura tuu. Ogopa kitu njaa, unaweza kula hata kibudu. Wapiga kura wengi bado wana njaa sana ndo maana vijijini wakipewa pombe na nyama, ongeza tshet, khanga, na vizawadi vidogovidogo kwishaaa, utapewa kura na kula pia hata mke ukitaka.
 
I'm not surprised that an old and senile man would assume other people suffer from memory loss.
 
watanzania hawatarudi nyuma na CCM ikibweteka mwaka 2015,nchi itaongozwa na mtu mwingine mwadilifu toka upinzani ndg MAKAMBA usijidanganye hii si nchi ya wadanganyika tena.
 
In a way, he said the truth...siku ya siku (Uchaguzi), watasema, chagua CCM kwasababu ya Amani na Utulivu. Sad to say, the majority of low information voters (especially in rural areas) will fall for it.
 
Another thing is, without constitutional changes, which should include electoral commission which is independent, its gonna be Deja Vu all over again. Tutabakia kulalamika...oh wamechakachua. Real changes need to take place if we want free and fair elections.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom