Makamba katibu mkuu wa CCM hakui tuu analeta ubabe hapa wakati ni mla Rushwa mkubwa

mbolimboli

Member
Dec 17, 2010
11
0
Wenzio wanatafuta njia ya kumakiza mgogoro huko Arusha wewe waleta za kimabavu hapa. Huoni ndio uliyoipeleka CCM pabaya.
 
Back
Top Bottom