Makamba hana adabu kabisa;akujua mwosha huoshwa-masauni

Kila mtenda hutendwa!!!! uko wapi umahiri wake wa kunukuu vitabu vitakatifu wakati wa kuasulubu na kuwatukana wenzake?je nukuu hiz hazikufua dafu wakati wa kujinasua yeye mwenyewe?


Wakati mji wa dodom aukiendelea na sherehe za aina yake za kuukimbiza utawala wa fashist Makamba na wenzake aliekuwa mwenyekiti wa uvccm amewaasa watanzania wanaoshika madaraka ya chama wasijisahau hata kidogo..wanachowafanyia wenzao ipo siku watafanyiwa tena wakiwa dunian...
Mh masauni amesema alisikitika sana kuona huyu mzee alivyofikia kumtukana na wazazi wake kisa uongozi wa chama..na kusema CCM ilikuwa inaelekea pabaya kama si kusahaulika..amempoongeza mh kikwete kwa mabadiliko na kumuasa yasiishie hapo kwani kuna ufirauni mwingi tu ccm Umejaa

UVCCM....Kama atawalea wale watoto ipo sikui atakuja kutukanwa hadharani...wale watoto wajinga sana wanafikia kumtukana mtu kama sumaye bila kujua umuhimu wake..alisema

Mh makamba kwaniaba ya familia yangu binafis pdidy nakupongeza kwa aibu iliokukuta ilifika sehemu nikasema hivi mpaka unatukana watu hivi n mganga wa tanga amekuhakikishia ungóki ama??tatizo ukujua Mungu yupo..pole karibu mtaani
 
Mkuu niombee kontena yangu waisiichakachue pale bandarini..umenifurahisha sana..@@
 
Si vema kumjadili Makamba na wala si busara. Ni kupoteza muda. Tatizo si Makamba. Tatizo ni CCM yenyewe. Makamba alikuwa akiimba wimbo wa CCM.
Chama cha CCM kimepoteza mwelekeo kabisa. Ni chama kinachoendesha nchi kwa mazoea. Hawana jipya. Hawatumii utafiti wala sayansi.

Hata ukija kwenye swala la Katiba mpya. Mtu mwenye akili timamu na anayejidai kuwa anaamini katika demokrasia ya kweli hangeweza kupeleka ule mswaada kama ulivyo. Hii inaonesha udhaifu mkubwa katika serikali ya CCM. Bado wao wanafikiria kuwa ni nchi ya wajinga ambao wanaweza kuwachezea na kuwaburuza wanavyotaka.

Siamini kuwa watu wa intelligence wameshindwa kumueleza Rais "mood" ya wananchi ilivyo kwa sasa. Ni ule ukiburi na dharau ya CCM na kule kujiamini kupita kiasi ndiko kunawafanya waendeshe nchi kimzaha. They fail to see the changing times. They are living in the past.

Kwa hali ilivyo ni vigumu kuona mabadiliko yeyote yale ndani ya CCM na serikali. Unaweza ukamtoa MAKAMBA NA UKAWEKA MWINGINE. BILA KUBADILI FALSAFA YA CHAMA YA KUKUMBATIA MATAJIRI, WAFANYA BIASHARA, MAFISADI, UBINAFSI , RUSHWA nk. na kujenga commitment kwa wananchi na maendeleo yao, HAKUNA MABADILIKO.

Mwl. Nyerere katika kijitabu "TUJISAHIHISHE" alikemea tabia ya Viongozi kupenda kutoa majibu rahisi kwa matatizo makubwa. CCM hawakujifunza. WANAYO SAFARI NDEFU na muda kidogo. Sikio la kufa halisikii dawa. BURIANI CCM.
 
Mtaani kwake alikuwa kalazimisha DAWASCO wapeleke maji kwake tu na wengine wasipate ili kwake yasipungue.

Nasubiri siku DAWASCO watakwenda na kumkatia Bomba la Maji na kuwaunganisha walala hoi wengine.....

Hapo ndipo ataona UJINGA wa kujifanya BORA kwa kupata peke yake......

Juzijuzi mwenzake Masha alilia kuwa Dar Airport ni ya OVYO sana. Alizoea kupitia VIP na kujiona kashakuwa MATAWI na kuwasagia walalahoi na sasa na yeye anapigwa RUMBA kama sisi tu wengine.

Na huu ni Mwanzo tu kwani akina GBAGBO wa Tanzania inatakiwa na wao KUOSHWA.
 
Sio siri Jakaya anamuogopa sana Makamba kwa mambo ya ndumba na ndio maana ili kumpooza ilibidi ampe mwanae January ujiko wa mambo ya nje ingawa jamaa hawezi kusafiri kwenda Marekani kwani kule anatafutwa kama gaidi wa mtandaoni CYBER TERRORIST; shauri ya mgongano wake na mtoto wa Rockerfeller!!
 
Back
Top Bottom